Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Kwa Hiyo Anatupiga Fix?
Wabongo Shida Yetu Hatuko Wazi. Ingekuwa Kwa BIDEN, Unamteua Mtu, Unampa Taarifa Anakuambia "I'm Delighted, No Thanks" ... Bongo Sasa
Kusema hakujua anatuona SI wajinga kwakweli,mpaka mtu unajiuzulu BBC,baada ya siku moja unateuliwa halafu unasema hukujua, nitakuwa wamwisho kuamini hilo
 
View attachment 2105667

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Huyu ameanza uongo mapema sn, kabla ya kuteuliwa lazima ufanyiwe vetting ya personal na ya siri
 
Umelala unaamshwa unakumbana na teuzi

Safi sana

Ova
Wengine wanaamshwa na I think am done with you na block [emoji724] kila kona.

Unaamka unakumbushwa marejesho ya Mpawa.

Unaamka na simu unaambiwa aisee hatunaye Tena.. fanya haraka uje na pesa kwani huku hakuna kitu wala mtu..

MUNGU huyu
 
Teh teh

Ova
 
Si kweli. Uteuzi kama unakunyemelea kuna aina mbili wapo wateuliwa wanaloby au kuanza kuulizia ulizia nafasi fulani napenda nifanyekazi na wengine wanateuliwa kwa uwezo wao.

Tetesi huwa zinaanza mapema japokuwa inaweza isifahamike ni nafasi gani haswa unateuliwa lazima alipokea emails na simu pia kumuuliza kuhusu kurudi nyumbani kufanya kazi. Lazima wakuandae kisaikolojia. Na ni haki ya mteuliwa kujua job description na benefit package.

Navyohisi hii nafasi alitaka apewe kikeke lakini akachomoa ndio wakaona wampe Zuhura.

Naona wabongo wamekomaa na uraia wake ila wamesahau kwamba Hata Salva alikuwa na residency ama sio uraia wa UK maana mkewe na wanae wote makazi yao yalikuwa kwa malkia.a

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Hapo kwa kikeke ni kweli kabisa maana nae alianza kuaga kule bbc wakasema anarudi nyumbani!

Sema kikeke atakuwa alimuudhi mama kwenye yale maswali yake kuhusu mbowe siku ile anamhoji bi hangaya
 
View attachment 2105667

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili

Inatuhusuje?
 
Kama angehusisha huo uteuzi na jinsia yake au U-zanzibari wake huenda ungemuelewa ?
Sijalelewa maporini kwa kunifanya nione tofauti ya watu kupitia makabila yao, dini zao, au asili zao! Nimezaliwa na kukulia kwenye maeneo yenye mchanganyiko wa watu wenye dini, makabila, na asili tofauti!

Taabu ni kwa wale waliozaliwa na kukulia huku wakiwa wamezungukwa na watu wa asili yao pekee, wakiona mtu mwenye asili nyingine ndipo shida inaanza kwa sababu hawajazoea!

Tweet.png

Tunam-judge mtu kutokana na utendaji! Sometimes unaweza kuwa wrong kutokana na vile unavyoamini wewe ikawa kinyume anavyofanya yeye!!
 
Hana mume wala mtoto, sijui ana shida gani.
Ukioa hapo ni mateso!
.
Wanawake wa hivyo hutaka na wao wawe na ndevu ndani ya nyumba.

Sasa hakuna mwanaume mwerevu atakubali hayo
 
View attachment 2105667

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Huyo nadhani yeye hajui kwamba watanzania wa sasa sio wale aliowaacha back on14 years past.

Ikulu hawawezi kufanya uteuzi bila kufanya mawasiliano ya kukuandaa.

Tena ukizingatia kwamba yuko United Kingdom[emoji636] .

Wasiwasi wangu usikute tayari anao uraia Pacha.
 
View attachment 2105667

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Michongo tu kupeana ulaji wapwani. Huyu alikua anamnanga jpm BBC sasa mama kampa kamba ya mbuzi refu ale hela ya umma.
 
View attachment 2105667

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Ulitaka asemeje?

Wabongo Kwa kupangiana vya kusema…. Hatujambo
 
Back
Top Bottom