mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Kwanini
Hapa watanzania wengi tutafurahi kwa majibu mazuri atakayeto rais. Tunamuelewa rais wetu na tunaona jitihada zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini
Yeye hujamuelewa nakuwa anachokonoa ufungukezuhura nae wenge.
Uganda INA Uhuru gani wakati kila uchaguzi anashinda MTU mmoja.
Matukio anayofanyiwa kiongozi wa upinzani huko Uganda yeye hayaoni?
MAHAKAMA IMEFANYA NINI KUTETEA HAKI NA USAWA KWA WAPINZANI?
HahahaMbowe alishakataa, akatoa masharti aletewe maswali miezi mitatu kabla ili ajiandae.
Huyu akiulizwa alipataje PHD ndo utakuwa mwisho wa interviewNaombea kila siku ya Leo... itokee wamhoji Rais wetu mpendwa
vimaneno maneno na vituhuma tuhuma vimezidi mno juu ya utawala wake...hasa kutokea side B[emoji55]
Unakumbuka magufuli alivyokuwa anajuchanganya majibu ya Sammy Awami.Hapa watanzania wengi tutafurahi kwa majibu mazuri atakayeto rais. Tunamuelewa rais wetu na tunaona jitihada zake.
Anaweza kudondoka ghafla mbele ya camera.Huyu akiulizwa alipataje PHD ndo utakuwa mwisho wa interview
Kwahiyo Lisu alipigwa na mume?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]We huna akili kwani wabunge wa ccm kumchangia lisu matibabu ndo kunaiondolea tuhuma selikari, mbona mume akimuumiza mke kwenye ugomvi humpeleka hosipitali atibiwe, kwa hiyo mume hana.Hatia,
Britannica hivi unaweza kutetea kwanini CCM na mgombea wake waligoma kufanya mahojiano na BBC 2015 ?!. Kama una akili vizuri tetea na hilo?! Bora kina Wine, Lissu na Lowassa wamekubali kufanya mahojiano pamoja na maswali yao chokonoziMwanadada mtanzania,ambaye anafanya kazi n.a. shirika la utangazaji la Uingereza BBC amekuwa mahiri katika kufanya mahojiano ya kuchokonoa , na kufanya duku duku la msikilizaji kuisha endapo anayehojiwa atatoa majibu fasaha,
Mwaka 2015 alimbana Lowassa kwa maswali baada ya Lowassa kujitapa akiwa rais atafuta rushwa na ufisadi, aliulizwa swali moja tu kwamba "Ulipata kuwa waziri mkuu Moja ya ngazi kubwa za uongozi Tanzania na ulikuwa na nafasi kwanini hukuyafanya kipindi hicho na useme utafanya sasa?"
Ngoyai aliishia kusema unanionea
Mwaka huu kaulizwa maswali bwana Tundu Antipass Lissu kwamba unaituhumu serikali kwamba ndo wamekushambulia na serikali hiyo hiyo kupitia wabunge wa CCM walichangia mpaka kukueezesha kufika Nairobi wakati chama chako hakijapata hela inakuwaje hii, Lissu akasema unajua mazingira yanaonesha ni serikali,
akaulizwa mbona alipokutembelea Mama samia Hassan Nairobi hukukataa na ukasema amsalimie rais na unashukuru kwa ujumbe wake hii imekaaje? Lissu mnajua alochojibu
Sasa ni zamu ya Bob Wine anaulizwa hapa sikiliza
anaulizwa unataka kumpindua M7? Bob anajibu hapana sitaki, je una mpango wa kuwa rais? Bob anasema tunachoangalia siyo nani ni rais, tunaangalia waganda kuwa free,
zuhura anauliza utasemaje uganda si free wakati uhuru wa mahakama ndo umeipinga serikali na kusema utibiwe nje?? Sikiliza majibu ya Bob Wine