Zuhura Yunusu wa BBC, ambana maswali Bob wine

Zuhura Yunusu wa BBC, ambana maswali Bob wine

uzur mmoja haufanyi mabaya yote ya potee
ko sio kuruhusiwa kwnda kutibiw haimaanish uhuru wote upo maan uo ulikuw ni wema wa kuficha maovu The same is for antipas lissu
 
Pascal Mayalla alimhoji maswali 3 jiwe, tukaanza kuambiwa Mayalla maana yake ni njaa, mara kuna mhimili umejichimbia nk

CCM 2015, 2010 walikataa midahalo, ila wanawacheka wanaokubali kuhojiwa.

Kuna mgombea akiwa tu jukwaani anamwaga Sera alisema Sadam Hussein alikuwa Rais wa Libya. Vipi akiwekwa kikaangoni.
 
Daaa ila waT bwana ndo mana wana siasa wanatuchezea kama mapunguwani. Hivi maswali magumu yaloshindikana ni yepi hapo? Mbona anauliza kawaida tu na jamaa anajibu vizuri tu!? Tunapenda sana kutengeneza na kukuza majambo!
 
Back
Top Bottom