Zuhura Yunusu wa BBC, ambana maswali Bob wine

zuhura nae wenge.
Uganda INA Uhuru gani wakati kila uchaguzi anashinda MTU mmoja.
Matukio anayofanyiwa kiongozi wa upinzani huko Uganda yeye hayaoni?
MAHAKAMA IMEFANYA NINI KUTETEA HAKI NA USAWA KWA WAPINZANI?
 
zuhura nae wenge.
Uganda INA Uhuru gani wakati kila uchaguzi anashinda MTU mmoja.
Matukio anayofanyiwa kiongozi wa upinzani huko Uganda yeye hayaoni?
MAHAKAMA IMEFANYA NINI KUTETEA HAKI NA USAWA KWA WAPINZANI?
Yeye hujamuelewa nakuwa anachokonoa ufunguke
 
Nakumbuka Magufuli alikimbia mahojiano na Zuhura kwa speed ya 5G.
 
Mimi nilishawahi kupewa namba ya huyo dada na mtu ili nimtongoze aliniuliza maswali magumu Hadi nitamuuliza eti ukitaka kwenda mbinguni unapitia njia gani ??
 
Kwani Kichaa wetu hajawahi kukutana na kisanga cha bi Zuhura Yunus??
 
Angalia Interview yake na Salama Jabir ndo utajua Kuwa Zuhura nae alikutana na mbabe wake
 
We huna akili kwani wabunge wa ccm kumchangia lisu matibabu ndo kunaiondolea tuhuma selikari, mbona mume akimuumiza mke kwenye ugomvi humpeleka hosipitali atibiwe, kwa hiyo mume hana.Hatia,
Kwahiyo Lisu alipigwa na mume?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Britannica hivi unaweza kutetea kwanini CCM na mgombea wake waligoma kufanya mahojiano na BBC 2015 ?!. Kama una akili vizuri tetea na hilo?! Bora kina Wine, Lissu na Lowassa wamekubali kufanya mahojiano pamoja na maswali yao chokonozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…