Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Jitathimini.Hawa watu wataendelea na chuki na serikali ya Nchi hii na sababu ni kuibiwa kwa kura, wanaamini ingekuwa serikali yao haya yasingetokea, na serikali mbili zingeweza ongea kutatua shida hii, na si kama walivyofanya
Sasa kelele za niniHakuna aliyelalamikia Kenya kulinda afya za raia wake!
Tatizo ni uerevu uliozidi akili zetu,hivyo tupambane na hali yetu.Crown, unadhani ni ipi iliyobora! Kuzuia mahindi yasiuzwe nje bila kuangalia athari ya wazalishaji? na walalaji? Na hii ya sasa Kenya kuzuia mahindi yetu kwa hofu ya afya za walaji?
Umesahau kwamba hayo mahindi hayauzwi kenya pekee.Retaliate kwa ajili ya nini? Kwani lazima kuuza mahindi Kenya?
Hizo Mycotoxins zilikuwepo kwa muda gani ??Ok kama Kenya wanadanganya juu ya mycotoxins huku taifa lao linanjaa kwa nini tusiuze Zimbabwe?
Ni swali ambalo linatakiwa kujibiwa na mamlaka husika za Kenya.Hizo Mycotoxins zilikuwepo kwa muda gani ??
Yani unataka kusema Tanzania tutaambiwa mahindi yetu yana sumu na lolote lisifanyike?Unao uhakika kwamba kwenye vikao vyao vya kazi hawajawahi kuzungumzia hilo? Wewe ambacho umeshudia ni katazo la Kenya but huna uhakika wa official correspondences kwani ni vikao vya siri.
Google mkuu neno aflotoxin au sumukuvu uone inavyo ogofya.Tueleze hiyo sumu inapatikana je?
Pole mkuuHamia huku maana wewe huwa kila kitu kinachohusu serikali ya Tanzania ni kibaya.
Yaani huwa unaudhi basitu
Wakenya siyo mazuzu kama wa Tanzania wanaodanganywa na lile zuzu kuu linalodanganya wenzake kwamba yesu wa Nazareth anawapenda wakatorik wa chato kuliko Nazareth nayo mazuzu wanaoshangilia. Kama hayawani hovyoHakuna aliyelalamikia Kenya kulinda afya za raia wake!