FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima wote kuwalala. Ni kutimiza majukumu ya kikabila
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla.
Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?
View attachment 51830
hapo blue,kivipi ebu fafanua? ki-tendo la ndoa,kiuchumi,kuzalisha? kuwahudumia nini? ebu nipe majibu nitarejea
Sio lazima wote kuwalala. Ni kutimiza majukumu ya kikabila
kuishi ikulu ni satisfaction tosha
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla.
Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?
View attachment 51830
Nina maaanisha kuwahudumia mahitaji ya kimwili..kiuchumi najua no problems at all ...
hao tu alionao ni wengi na bado anaendelea kuongeza ..
Umenielewa ...?
kuishi ikulu ni satisfaction tosha
Unaweza kunitajia mwanaume mwenye actual mke mmoja? ndivyo anavyofanya zuma
naona yupo deleted kabisa ahahaaa wanaume bana kaaazi kweli kweliHuyo wa kwanza kulia (nguo nyeusi) naona kama amenuna hivi..inawezekana husband hamtembelei mara kwa mara....
wewe utakataa?Smile kumbe wengine wanaenda tu kuishi Ikulu..ha ha
hivi kuna mwanamke anaeweza kukataa bahati hii kweli hata kama atalala na wewe mara moja kwa mwaka ?Hilo nalo neno Smile!..wengine wako kwa ajili kuondoa umaskini!
naona yupo deleted kabisa ahahaaa wanaume bana kaaazi kweli kweli
hivi kuna mwanamke anaeweza kukataa bahati hii kweli hata kama atalala na wewe mara moja kwa mwaka ?