Zuma to marry - again!

Zuma to marry - again!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla.

Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?

895077_757205.jpg
 
Sio lazima wote kuwalala. Ni kutimiza majukumu ya kikabila
 
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla.

Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?

View attachment 51830

hapo blue,kivipi ebu fafanua? ki-tendo la ndoa,kiuchumi,kuzalisha? kuwahudumia nini? ebu nipe majibu nitarejea
 
Ktk Waptrik.com,upande wa WapKid-Game,kuna game inaitwa ZUMA,
Swali, Hv walifikiria nini kuipa hii game jina la huyu muoaji wa Mitala?
Najua mtasema me m-mbea na nimetoka nje ya mada, ila ndo hvyo lawama zote nimejiandaa kuzipokea.
 
hapo blue,kivipi ebu fafanua? ki-tendo la ndoa,kiuchumi,kuzalisha? kuwahudumia nini? ebu nipe majibu nitarejea

Nina maaanisha kuwahudumia mahitaji ya kimwili..kiuchumi najua no problems at all ...
hao tu alionao ni wengi na bado anaendelea kuongeza ..
Umenielewa ...?
 
Nina maaanisha kuwahudumia mahitaji ya kimwili..kiuchumi najua no problems at all ...
hao tu alionao ni wengi na bado anaendelea kuongeza ..
Umenielewa ...?

Unaweza kunitajia mwanaume mwenye actual mke mmoja? ndivyo anavyofanya zuma
 
Huyu mzee anatakiwa kuwekewa Governor, maana hii speed ya kuoa inanipa mashaka!
 
Back
Top Bottom