Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

Unawajua Mormon?
Kajifunze ni watu gani hao. Wana biblia yao sambamba na biblia ya kawaida na ni wakristo.

Wasabato pia, vitabu vya Elen G white ni sawa na biblia na bado ni wakristo.

Hakuna ubaya wa Zumaridi kua na biblia yake sambamba na hii ya kawaida na bado akawa mkiristo
Akishakua mkristo manake hawezi kuanzisha dini yake ,tayari ameshajiita mkristo,inabidi abuni jina la imani yake yeye
 
Muhamad hakuanzisha Uislam alikuja kuukamilisha ulikuwepo tangu enzi za Nabii Adam
Acha uongo ,lete ushahidi nje ya quran ya muhamad kama kulikua na dini inayoitwa uislam kabla muhamad hajazaliwa
 
Na ukaamini[emoji23][emoji23]
Nimemuuliza kwenye hao wazee 24 hakuniona? Maana mimi ni mojawapo ya hao wazee 24.

Ufunuo wa Yohana una tofauti gani na ufunuo wa Umaridi?😂
 
Back
Top Bottom