Zumaridi hana kesi ya kujibu

Zumaridi hana kesi ya kujibu

Ndo staili ya kuanza kumchomoa Mdogo mdogo,kosa la sabaya ni kuuza siri ya kambi kwa maadui.
Bora kufa utaokolewa kuliko kuuza ramani ya ghala la silaha ni utoto.

Aliuza Siri gani mkuu?
 
mungu atakua kaweka wakili wazuri sana,atachomoka tu huyu mjanja mjanja sana hivi bado yupo prison au yupo nje kwa dhamana

Yupo rumande, kosa la human trafficking analoshtakiwa nalo halina dhamana.
 
View attachment 2437696

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Kesi imeisha Kama Ni sentence Basi ni dogo Sana kwa zumaridi
 
Mlitarajie afungwe Kwa kosa gani Kwa mfano
 
Wakala wa Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika Kanda ya ziwa.Kanada yenye kusanyiko kubwa la wajinga na wapumba.vu
 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Kidooogo wewe umejitahidi kuelezea!

Kichwa cha habari hakisadifu uhalisia, ni biashara ya kuvutia wasomaji wateja.

..." hana kesi ya kujibu"... wakati bado yumo ndani kang'ang'aniwa?

Hapo ulitakiwa uchambue mashitaka gani aliyofutiwa na mashitaka gani bado anaendelea nayo.

"Hana kesi ya kujibu" maana yake ni kuachiwa huru na sasahivi angelikuwa uraiani akiabudiwa Mungu mtu chini ya jua.
 
Huyu mama akijipodoa anaonekana mzuri mzuri kama asipijipodoa anakuwa mubaya sana.
 
Back
Top Bottom