alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Sio Mungu ni munguMungu, namna gani pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mungu ni munguMungu, namna gani pale
Sijakuelewa hana, anayo au kesi haimuhusuView attachment 2437696
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Hakuna kesi hapoAtazichomoa zote, nabii wa mwanza.
View attachment 2437696
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Ndo staili ya kuanza kumchomoa Mdogo mdogo,kosa la sabaya ni kuuza siri ya kambi kwa maadui.
Bora kufa utaokolewa kuliko kuuza ramani ya ghala la silaha ni utoto.
Atazichomoa zote, nabii wa mwanza.
mungu atakua kaweka wakili wazuri sana,atachomoka tu huyu mjanja mjanja sana hivi bado yupo prison au yupo nje kwa dhamana
Kesi imeisha Kama Ni sentence Basi ni dogo Sana kwa zumaridiView attachment 2437696
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Zile pisi zinazojiangushaga ukiwa around utajionea mihips hadi bas[emoji23]juma khamis kafata nini !
Kidooogo wewe umejitahidi kuelezea!
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Du!!!''''mungu alikuwa selo!!!!!!....wafuasi wake wajitafakari
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Kumuanika boss wakeAliuza Siri gani mkuu?