Mwaka 2021 alishawishi serikali kuongeza tozo za miamalaπ’π’π’π’Haya tupatiwe historia ya Elimu yake (CV)
Hongera yake Mr ZunguMgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika
Mara baada ya kuchaguliwa Zungu aliapishwa na Dkt. Tulia Ackson Bungeni
View attachment 2116248View attachment 2116249View attachment 2116250