Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....