okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Age sio tatizo kwani kuna nchi zinaendeshwa na wazee na zipo Safi kiuchumi.Si ndio!, Mtu age imeenda amekua mbunge kwa zaidi ya miaka 15 bado anaendelea kufikiria ubunge.
Vijana wengi wapo wenye uwezo na Uzalendo ni wakati wa kupewa nafasi, Ukomo wa ubunge iwe miaka 5.
Tatizo ni ONGEZEKO LA TOZO kwenye miamala na sio ongezeko la mauzo ya TANZANITE