Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sanduku la kura linaongea, ikiwa wakazi wa ilala hawajauona uzee wake sisi humu ndani ni kina nani mpaka tumpe sifa ambazo bado hajazifikia?.Anatakiwa awaachie vijana, sio lazima afatwe na wazee wamwambie apumzike...ajiheshimu tu
Haihitajiki sanduku la kura, kwa umri wake na nafasi yake aliyohudumu pale bungeni ilikuwa inatosha kupumzika, uzee unaonekana kwenye uso wake...sura Ina makunyanzi sio lazima atukanwe na vijana majukwaani ndipo ajue amezeeka...kwa heshima angetangaza kustaafu siasa awaachie vijanaSanduku la kura linaongea, ikiwa wakazi wa ilala hawajauona uzee wake sisi humu ndani ni kina nani mpaka tumpe sifa ambazo bado hajazifikia?.
Hao ndiyo wenye ilalaAnaonekana ametembea duniani pia katika ujana wake aliishika pesa ya kutosha tu, karidhika moyoni.
Vijana wa Ilala hawajataka kumzeesha kwa kejeli za mitandaoni, sisi kina nani tumzeeshe?.Haihitajiki sanduku la kura, kwa umri wake na nafasi yake aliyohudumu pale bungeni ilikuwa inatosha kupumzika, uzee unaonekana kwenye uso wake...sura Ina makunyanzi sio lazima atukanwe na vijana majukwaani ndipo ajue amezeeka...kwa heshima angetangaza kustaafu siasa awaachie vijana
Si ndio!, Mtu age imeenda amekua mbunge kwa zaidi ya miaka 15 bado anaendelea kufikiria ubunge.Anatakiwa awaachie vijana, sio lazima afatwe na wazee wamwambie apumzike...ajiheshimu tu
Wajanja wa Dar watoto wa mjini kitambo.Hao ndiyo wenye ilala
😄
Ova
Hao long time ukisikiaa wazee wa mjini ndiyo hao sasaWajanja wa Dar watoto wa mjini kitambo.
KumbeKusaga na kukoboa unga wa mahindi kunaleta pesa nyingi sana ziso na idadi.
KikongweAnafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake,iwe usiku au mchana,mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu,kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika,barabara yetu mbovu sana mara pah,amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265
Hata mimi baharia wa Nchi kavu nilikua natafuta sehemu ambayo hilo neno litaendana sijaona kabisa maana sisi ndio tunaongoza kwa kuunga unga kimalkia na unaeleweka.Mimi siyo mtaalam wa lugha ya Kiingereza! Ila naona kama hilo neno "aggressive" umelitumia mahali ambapo siyo sahihi.
Badala yake ungetumia neno "active" ndiyo ingeleta maana sahihi ya ulicho maanisha.