Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Ina maana wapiga kura wa ilala hawawaoni hao vijana? punguza kasumba hazikusaidii.Si ndio!, Mtu age imeenda amekua mbunge kwa zaidi ya miaka 15 bado anaendelea kufikiria ubunge.
Vijana wengi wapo wenye uwezo na Uzalendo ni wakati wa kupewa nafasi, Ukomo wa ubunge iwe miaka 5.
Kuwa kijana pia sio guarantee kwamba ni mtendaji mzuri, vijana wengi wa hovyo mitaani, vijana wengi wezi tu na mafisadi.Mkuu mawazo mapya ni muhimu sana. Amekaa kwa muda inatakiwa apumzike nikweli unaweza kuwa Vizuri kiutendaji lakini bado haikupi warranty ya kukaa milele kwani kuna wazuri zaidi yako pia
Kuwa aggressive ni pamoja na kudhibiti wapinzani kuchukua Nafasi yako kwa namna mbalimbali ikiwemo kuwafanya watoto wao kuwa zombiesAggressive: View attachment 3433364or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
Ndio maana ya aggressive vipi huyo mbunge ana sifa hizo?
Sikatai kabisa mkuu. Nachojaribu kukiweka sawa hapa ni kwamba sio kwamba yeye ndo mzuri kuliko watu wote hao jimboni wapo sema mifumo yetu(katiba) imekaa kulia zaidi haija balance.Kuwa kijana pia sio guarantee kwamba ni mtendaji mzuri, vijana wengi wa hovyo mitaani, vijana wengi wezi tu na mafisadi.
Uzee wake wanaujua hao waliompigia kura, wameridhika nae.
Chiz mbunge wa Jimbo lako .ustupangie mbunge kama anafanya kile watu tunataka kwann asiendeleeukomo wa ubunge unatakiwa huyo chizi kupumzishwa.Usiwe kama wakazi wa morogoro na mbunge wao ambaye wana amini wakifa watasafirishwa na abood
Angekuwa na busara japo kidogo tu, asingechukua form ya kugombea ila kwa sababu ya ego na uwepo wa machawa kama wewe basi amejikuta karudi tena uwanjani.Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake,iwe usiku au mchana,mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu,kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika,barabara yetu mbovu sana mara pah,amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265
Wateja wa hiyo bidhaa ni wakina nani ?Kusaga na kukoboa unga wa mahindi kunaleta pesa nyingi sana ziso na idadi.
Watoto wa maskini wapambane waondokane na huo umaskini.Sikatai kabisa mkuu. Nachojaribu kukiweka sawa hapa ni kwamba sio kwamba yeye ndo mzuri kuliko watu wote hao jimboni wapo sema mifumo yetu(katiba) imekaa kulia zaidi haija balance.
Kuna watoto wa maskini wapo vizuri mno sema hawako kwenye mfumo
Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake,iwe usiku au mchana,mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu,kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika,barabara yetu mbovu sana mara pah,amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265
Kwa hiyo tuwe na mbunge kama lissu,ukomo wa ubunge unatakiwa huyo chizi kupumzishwa.Usiwe kama wakazi wa morogoro na mbunge wao ambaye wana amini wakifa watasafirishwa na abood
Mtoto wa maskini akiongoza baadae ya miaka mitano akiwa Tajir mnaanza kumsema oooh alikuja ilala na ndala saiv anatembelea range 🤣Sikatai kabisa mkuu. Nachojaribu kukiweka sawa hapa ni kwamba sio kwamba yeye ndo mzuri kuliko watu wote hao jimboni wapo sema mifumo yetu(katiba) imekaa kulia zaidi haija balance.
Kuna watoto wa maskini wapo vizuri mno sema hawako kwenye mfumo
Wewe unajitia hamnazo halafu unakuta ni mnuka vumbi. Sehemu ya logic wewe unaendekeza hisia kama katoto ka afu 2.Watoto wa maskini wapambane waondokane na huo umaskini.
Wapiga kura wa Ilala wamemuona huyo mzee anawafaa hayo ya umri wake yanamhusu yeye binafsi.
Uzee wake hausumbui ufanisi wake katika jimbo lake. Punguzeni hizi kasumba za kipuuzi kwamba uzee ni ugonjwa.Wewe unajitia hamnazo halafu unakuta ni mnuka vumbi. Sehemu ya logic wewe unaendekeza hisia kama katoto ka afu 2.
Mamayeeeee🤣ukomo wa ubunge unatakiwa huyo chizi kupumzishwa.Usiwe kama wakazi wa morogoro na mbunge wao ambaye wana amini wakifa watasafirishwa na abood