Age sio tatizo kwani kuna nchi zinaendeshwa na wazee na zipo Safi kiuchumi.Si ndio!, Mtu age imeenda amekua mbunge kwa zaidi ya miaka 15 bado anaendelea kufikiria ubunge.
Vijana wengi wapo wenye uwezo na Uzalendo ni wakati wa kupewa nafasi, Ukomo wa ubunge iwe miaka 5.
kwani mbunge anauza sura au ni utendaji wake ndiyo utawafanya wananchi wasimchague?Haihitajiki sanduku la kura, kwa umri wake na nafasi yake aliyohudumu pale bungeni ilikuwa inatosha kupumzika, uzee unaonekana kwenye uso wake...sura Ina makunyanzi sio lazima atukanwe na vijana majukwaani ndipo ajue amezeeka...kwa heshima angetangaza kustaafu siasa awaachie vijana
Nadhani huelewei age inavyozidi kukata nguvu ya mwili inapungua na uwezo wa akili unapungua (Kuchoka)Age sio tatizo kwani kuna nchi zinaendeshwa na wazee na zipo Safi kiuchumi.
Tatizo ni ONGEZEKO LA TOZO kwenye miamala na sio ongezeko la mauzo ya TANZANITE
Hawaoni au wamekutana na mfumo wa kitapeli unaominya haki na usawa ?Ina maana wapiga kura wa ilala hawawaoni hao vijana? punguza kasumba hazikusaidii.
Mkuu mawazo mapya ni muhimu sana. Amekaa kwa muda inatakiwa apumzike nikweli unaweza kuwa Vizuri kiutendaji lakini bado haikupi warranty ya kukaa milele kwani kuna wazuri zaidi yako pia
Hela zote atoazo zinarudi, mara 10000000!
Ubunge mgodi wadau!
Age sio tatizo kwani kuna nchi zinaendeshwa na wazee na zipo Safi kiuchumi.
Tatizo ni ONGEZEKO LA TOZO kwenye miamala na sio ongezeko la mauzo ya TANZANITE
Nadhani huelewei age inavyozidi kukata nguvu ya mwili inapungua na uwezo wa akili unapungua (Kuchoka)
Aliyesema vijana ni nguvu ya Taifa si mjinga.
Tumetumia nguvu na nani?hayo mawazo mapya si yaamuliwe kwenye sanduku la kura, kwanini mutumie nguvu?
Tumetumia nguvu na nani?
Washamba ni nyinyi mnaoishi na akili za kizamani kwamba mtu akishakuwa mzee basi hawezi tena kufanya kazi.Hawaoni au wamekutana na mfumo wa kitapeli unaominya haki na usawa ?
Punguza uchawa wa kishamba.
Yako wapi?hayo mapovu munayomwaga humu ya nini?
2015 ilikuwa aliwe kichwa akafanya yakeSawa inawezekana maana Kama alibaki salama 2015 itakuwa Ana kitu
Aliiiba uchaguz?2015 ilikuwa aliwe kichwa akafanya yake
Huko Shuleni ulikosoma ulifundishwa UHARO tu,neno AGGRESSIVE lina maana gani kwenye hoja??andika kiswahili kuliko kuchanganya UHARO wakoAnafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake,iwe usiku au mchana,mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu,kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika,barabara yetu mbovu sana mara pah,amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265
Ilinibidi nikaliangalie upya fasiri yake nikajua nimesahau , ni ushauri mzuri naunga mkono kwenye matumizi ya hilo nenoMimi siyo mtaalam wa lugha ya Kiingereza! Ila naona kama hilo neno "aggressive" umelitumia mahali ambapo siyo sahihi.
Badala yake ungetumia neno "active" ndiyo ingeleta maana sahihi ya ulicho maanisha.
Wazee hapana, miili inakuwa imechoka, akili imechoka, yaani Kila kitu kinaenda kizee zee, anakuwa hana jipya....huko bungeni hakuwafai wazee...wazee wanatakiwa wapate muda zaidi wa kupumzika....tunapata bunge la kugonga meza tu na kuitikia ndioo.....hawana hoja haokwani mbunge anauza sura au ni utendaji wake ndiyo utawafanya wananchi wasimchague?