Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
AZISHUKIRU PESA ZAKE ALIZOTOA RUSHWA KUWAPA HAO WAJUMBEAnafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265
Tupo na Zungu Sana tu, Mtu wa Watu Mtu wa kujichanganya, Shida kidogo ukimwambia fasta Anakuja na kutatua KERO - Mtuhulize Sisi WATU wa ILALA ndio Tunamjua na Tuko Naye - Wewe unakaa Bonyokwa uko unakaa Unamzungumzia ZUNGU, Zungumzia Mbunge Wako wa Bonyokwa ukoIna maana wapiga kura wa ilala hawawaoni hao vijana? punguza kasumba hazikusaidii.
Tozo za simu kadi/lainiHuyu si ndie alipendekeza tozo gani vile
Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi kuona kiongozi ambaye anakaa na watu wote,...
#wabunge wa huko makwenu wapoje?,kitabia....View attachment 3433265