Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
Hao watoro wachapwe viboko hadharani"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
"Yule anayesaini tunamjua, anafahamika, na yule anayesainiwa anafahamika vilevile kuwa ni mtoro. Hao nao vilevile tutawachukulia hatua za kisheria za kikanuni. Kuna wabunge wengine yote hayo hawafanyi, lakini ndani ya bunge hawaonekani. Huo ndio utoro uliokithiri. Kudharau mamlaka ya Ofisi ya Spika na kudharau wananchi waliowaleta humu ndani."
Kuanzia Jumatatu, hatutegemei haya kufanyika tena. Na Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kum-trace kila mbunge alipo kwa signal za simu. Ukiwa Songwe, Katibu anajua uko Songwe. Hata ukizima simu yako, simu sasa hivi bado zinatoa signal.
Kuna mbunge anaomba kibali Ofisi ya Spika anakwenda jimboni, lakini anakwenda nje ya nchi, na sijui wanavukaje kwenye viwanja vyetu vya ndege kwenda nje ya nchi bila vibali vya Spika. Hata ukiwa nje ya nchi, Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kujua uko nchi gani kwa signal ya simu yako."
Fact.Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao.
P
Bunge haram"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
"Yule anayesaini tunamjua, anafahamika, na yule anayesainiwa anafahamika vilevile kuwa ni mtoro. Hao nao vilevile tutawachukulia hatua za kisheria za kikanuni. Kuna wabunge wengine yote hayo hawafanyi, lakini ndani ya bunge hawaonekani. Huo ndio utoro uliokithiri. Kudharau mamlaka ya Ofisi ya Spika na kudharau wananchi waliowaleta humu ndani."
Kuanzia Jumatatu, hatutegemei haya kufanyika tena. Na Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kum-trace kila mbunge alipo kwa signal za simu. Ukiwa Songwe, Katibu anajua uko Songwe. Hata ukizima simu yako, simu sasa hivi bado zinatoa signal.
Kuna mbunge anaomba kibali Ofisi ya Spika anakwenda jimboni, lakini anakwenda nje ya nchi, na sijui wanavukaje kwenye viwanja vyetu vya ndege kwenda nje ya nchi bila vibali vya Spika. Hata ukiwa nje ya nchi, Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kujua uko nchi gani kwa signal ya simu yako."
Wananchi wa wapi Walipiga kura kuwaleta humo?wananchi waliowaleta humu ndani."
Huo utoto tuliufanyaga secondary school."Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.