Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha,Hadi wanatiliana saini za mahudhurioKama shuleni hivi

Aisee!Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.
SureIn Africa politics is for profit gain and nothing else.
Bahati mbaya sana ile siku mimi nazaliwa, ilikuwa ni Jumapili ya sikuu ya pasaka, wakazaliwa watoto wengi sana kwenye mkesha, hivyo kufikia zamu yangu tukakuta mgao wa uoga ameisha, hivyo nikaruhusiwa kuendelea kuishi bila uoga, na kuna wakati kwenye zile heka heka za ujana, nilikuwa napita maeneo ya hatari sana bila uoga, mara kibao nimekanya zile nyaya za high voltage za umeme wa grind ya taifa nikiwa peku peku na sinaswi na umeme!.Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?
Taifa halihitaji tena chawa wala watu waongo,wezi,mafisadi bali nimuda wakutumia kila tulichonacho ili kisaidie hili taifa naona mwendo wetu wa sasa ni wakutumbukia shimoni tena shimo refu,hivyo ni muda wa ujasiri na sii woga wa kuongea ukweli japo wengi wameshafika mahali pakutotaka kuusikia ukweli.Bahati mbaya sana ile siku mimi nazaliwa, ilikuwa ni Jumapili ya sikuu ya pasaka, wakazaliwa watoto wengi sana kwenye mkesha, hivyo kufikia zamu yangu tukakuta mgao wa uoga ameisha, hivyo nikaruhusiwa kuendelea kuishi bila uoga, na kuna wakati kwenye zile heka heka za ujana, nilikuwa napita maeneo ya hatari sana bila uoga, mara kibao nimekanya zile nyaya za high voltage za umeme wa grind ya taifa nikiwa peku peku na sinaswi na umeme!.
P
Ila pia tumpongeze Spika Zungu, baada ya kuwa Spika, amekuwa ni mtu muungwana sana, wakati akiwa Naibu Spika alikuwa mbabe sana, Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
Jikite kwenye hoja ya wabunge kutoroka kwenda nje kula bataHuu upuuzi wa kulifanya bunge kibogoyo ulianzia kwa Magufuli, na sasa bunge limekuwa takataka jumla. Haya ni matokeo ya siasa za kishenzi za magu kuharibu bunge la kidemokrasia .
Ww ulipomchomekea dhalimu magu ulikuwa umejikita kwenye hoja?Jikite kwenye hoja ya wabunge kutoroka kwenda nje kula bata
Hoja nini? Kwanza leo hii ukitamka Magufuli alikuwa dhalimu watanzania watakupiga mawe.Ww ulipomchomekea dhalimu magu ulikuwa umejikita kwenye hoja?
Mtu ubunge kapata bure , kwa nini asile bure , mie nawapongeza"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
"Yule anayesaini tunamjua, anafahamika, na yule anayesainiwa anafahamika vilevile kuwa ni mtoro. Hao nao vilevile tutawachukulia hatua za kisheria za kikanuni. Kuna wabunge wengine yote hayo hawafanyi, lakini ndani ya bunge hawaonekani. Huo ndio utoro uliokithiri. Kudharau mamlaka ya Ofisi ya Spika na kudharau wananchi waliowaleta humu ndani."
Kuanzia Jumatatu, hatutegemei haya kufanyika tena. Na Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kum-trace kila mbunge alipo kwa signal za simu. Ukiwa Songwe, Katibu anajua uko Songwe. Hata ukizima simu yako, simu sasa hivi bado zinatoa signal.
Kuna mbunge anaomba kibali Ofisi ya Spika anakwenda jimboni, lakini anakwenda nje ya nchi, na sijui wanavukaje kwenye viwanja vyetu vya ndege kwenda nje ya nchi bila vibali vya Spika. Hata ukiwa nje ya nchi, Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kujua uko nchi gani kwa signal ya simu yako."

Bunge lililo jisimika lenyewe kwa gharama ya damu za watanganyika"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.
"Yule anayesaini tunamjua, anafahamika, na yule anayesainiwa anafahamika vilevile kuwa ni mtoro. Hao nao vilevile tutawachukulia hatua za kisheria za kikanuni. Kuna wabunge wengine yote hayo hawafanyi, lakini ndani ya bunge hawaonekani. Huo ndio utoro uliokithiri. Kudharau mamlaka ya Ofisi ya Spika na kudharau wananchi waliowaleta humu ndani."
Kuanzia Jumatatu, hatutegemei haya kufanyika tena. Na Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kum-trace kila mbunge alipo kwa signal za simu. Ukiwa Songwe, Katibu anajua uko Songwe. Hata ukizima simu yako, simu sasa hivi bado zinatoa signal.
Kuna mbunge anaomba kibali Ofisi ya Spika anakwenda jimboni, lakini anakwenda nje ya nchi, na sijui wanavukaje kwenye viwanja vyetu vya ndege kwenda nje ya nchi bila vibali vya Spika. Hata ukiwa nje ya nchi, Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kujua uko nchi gani kwa signal ya simu yako."
Haka Kasukuma kajinga, kanauma na kupuliza! Mara katuunge mkono mara kashirikiane na watesi wetu kutusema vibaya!Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?