Zungu: Kuna Kundi la Utoro Bungeni, Waliokwenda Morocco bila Kibali wachukuliwe hatua

Hii nchi ya ajabu sana. Yaani kodi za wananchi zinatumika hovyo kwa ajili ya mambo ajabu. Walitaka kick za kisiasa kwa kutoroka bungeni.
👇
Screenshot_20260604-114310.jpg
 
Mmbunge gani atabaki bungeni wakati hajachaguliwa na wananchi, na anajua hakuna lolote wanajadili serekali inatii, sana sana kila kinachopelekwa kinapita kama kilivyo. Na ukizingatia wananchi wamelipuuza hilo bunge, hivyo mtu anaona abaki ili iweje?
 
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri View attachment 3600940
Sasa haya ndio matokeo!, tulikuwa na Mbunge mmoja tu jasiri Ado, sasa angalau Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.

Hili la kuchukuliwa hatua kwa wabunge Wazalendo waliotanguliza mbele taifa kwenda kuwatia moyo vijana, wamefanya jambo la msingi na la maana sana kuliko kupiga tuu meza na kuvuta posho.
P
Hilo bunge la hovyo ni matokeo ya waandishi wa aina yako. Nyie ndio mlikuwa mnaonyesha wabunge wa upinzani wanapinga kila kitu, na hawana heshima kwa bunge. Matokeo yake wamejazwa wabunge wa chama kimoja tena bila ridhaa ya wananchi na bunge limekosa mvuto na nguvu zake. Iko hivi, chama kikifikia mwisho hata kifanye nini hakiwezi kukukabalika.

Kwa sasa wamebaki kulazimisha kujiweke mbele kwenye hafla zenye umati kama michezo na burudani ili wapate uhalili kwa umma. Ni nadra kukuta mikutano ya wabunge na madiwani kwa sasa ikiitishwa, kwani hakuna aliyewachugua wala anayetaka habari zao.
 
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri View attachment 3600940
Sasa haya ndio matokeo!, tulikuwa na Mbunge mmoja tu jasiri Ado, sasa angalau Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.

Hili la kuchukuliwa hatua kwa wabunge Wazalendo waliotanguliza mbele taifa kwenda kuwatia moyo vijana, wamefanya jambo la msingi na la maana sana kuliko kupiga tuu meza na kuvuta posho.
P
Tanzania hatuna bunge la wananchi bali tuna bunge haramu lililotokana na uchaguzi haramu!
 
Hao si wabunge wakifanya hivyo ni lile genge la matapeli na wahuni.

Nchi ina bunge ambalo lajuimuisha wabunge wahuni na matapeli.

Walienda bungeni kwa njia haramu na kwa lengo moja tu kupora fedha za walipa kodi kwa njia haramu.

Kusaini kitabu na kutohudhuria vikao vya bunge ni wizi wa kalamu.

It’s fraud, pure and simple.
 
"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia kwenye karatasi zetu za manjano kujifanya na wao wapo.

"Yule anayesaini tunamjua, anafahamika, na yule anayesainiwa anafahamika vilevile kuwa ni mtoro. Hao nao vilevile tutawachukulia hatua za kisheria za kikanuni. Kuna wabunge wengine yote hayo hawafanyi, lakini ndani ya bunge hawaonekani. Huo ndio utoro uliokithiri. Kudharau mamlaka ya Ofisi ya Spika na kudharau wananchi waliowaleta humu ndani."

Kuanzia Jumatatu, hatutegemei haya kufanyika tena. Na Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kum-trace kila mbunge alipo kwa signal za simu. Ukiwa Songwe, Katibu anajua uko Songwe. Hata ukizima simu yako, simu sasa hivi bado zinatoa signal.

Kuna mbunge anaomba kibali Ofisi ya Spika anakwenda jimboni, lakini anakwenda nje ya nchi, na sijui wanavukaje kwenye viwanja vyetu vya ndege kwenda nje ya nchi bila vibali vya Spika. Hata ukiwa nje ya nchi, Ofisi ya Katibu ina uwezo wa kujua uko nchi gani kwa signal ya simu yako."
Wewe mzee na wewe usituchoshe sisi. Unashindwa nini kuwachukulia hatua? Unabwabwaja tu! Matako Yako!
 
Hahaha 😆 ni vituko CCM kwa CCM. Hakuna jipya hapo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri View attachment 3600940
Sasa haya ndio matokeo!, tulikuwa na Mbunge mmoja tu jasiri Ado, sasa angalau Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.

Hili la kuchukuliwa hatua kwa wabunge Wazalendo waliotanguliza mbele taifa kwenda kuwatia moyo vijana, wamefanya jambo la msingi na la maana sana kuliko kupiga tuu meza na kuvuta posho.
P
Kaka kuna mwaka uliwahi kuitwa bungeni kujieleza, spika alikuwa nani wakati ule?
 
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri View attachment 3600940
Sasa haya ndio matokeo!, tulikuwa na Mbunge mmoja tu jasiri Ado, sasa angalau Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.

Hili la kuchukuliwa hatua kwa wabunge Wazalendo waliotanguliza mbele taifa kwenda kuwatia moyo vijana, wamefanya jambo la msingi na la maana sana kuliko kupiga tuu meza na kuvuta posho.
P
Paskali katika ubora wako. Big up.
 
Mmbunge gani atabaki bungeni wakati hajachaguliwa na wananchi, na anajua hakuna lolote wanajadili serekali inatii, sana sana kila kinachopelekwa kinapita kama kilivyo. Na ukizingatia wananchi wamelipuuza hilo bunge, hivyo mtu anaona abaki ili iweje?
Wakati wa Hayaji JPM hakuna upuuzi kama huu ungeweza kufanyanika
 
Wabunge wanalidharau Bunge hili kwasababu halina msisimko, wanakuwa bored wanaamua bora waendelee na mishe mishe zao. Nilishauri View attachment 3600940
Sasa haya ndio matokeo!, tulikuwa na Mbunge mmoja tu jasiri Ado, sasa angalau Simai kajiunga angalau kuna amsha amsha.

Hili la kuchukuliwa hatua kwa wabunge Wazalendo waliotanguliza mbele taifa kwenda kuwatia moyo vijana, wamefanya jambo la msingi na la maana sana kuliko kupiga tuu meza na kuvuta posho.
P
Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?
 
Back
Top Bottom