Zungu: Kuna Kundi la Utoro Bungeni, Waliokwenda Morocco bila Kibali wachukuliwe hatua

Hii nchi ya ajabu sana. Yaani kodi za wananchi zinatumika hovyo kwa ajili ya mambo ajabu. Walitaka kick za kisiasa kwa kutoroka bungeni.
πŸ‘‡
 
Mmbunge gani atabaki bungeni wakati hajachaguliwa na wananchi, na anajua hakuna lolote wanajadili serekali inatii, sana sana kila kinachopelekwa kinapita kama kilivyo. Na ukizingatia wananchi wamelipuuza hilo bunge, hivyo mtu anaona abaki ili iweje?
 
Hilo bunge la hovyo ni matokeo ya waandishi wa aina yako. Nyie ndio mlikuwa mnaonyesha wabunge wa upinzani wanapinga kila kitu, na hawana heshima kwa bunge. Matokeo yake wamejazwa wabunge wa chama kimoja tena bila ridhaa ya wananchi na bunge limekosa mvuto na nguvu zake. Iko hivi, chama kikifikia mwisho hata kifanye nini hakiwezi kukukabalika.

Kwa sasa wamebaki kulazimisha kujiweke mbele kwenye hafla zenye umati kama michezo na burudani ili wapate uhalili kwa umma. Ni nadra kukuta mikutano ya wabunge na madiwani kwa sasa ikiitishwa, kwani hakuna aliyewachugua wala anayetaka habari zao.
 
Tanzania hatuna bunge la wananchi bali tuna bunge haramu lililotokana na uchaguzi haramu!
 
Hao si wabunge wakifanya hivyo ni lile genge la matapeli na wahuni.

Nchi ina bunge ambalo lajuimuisha wabunge wahuni na matapeli.

Walienda bungeni kwa njia haramu na kwa lengo moja tu kupora fedha za walipa kodi kwa njia haramu.

Kusaini kitabu na kutohudhuria vikao vya bunge ni wizi wa kalamu.

It’s fraud, pure and simple.
 
Wewe mzee na wewe usituchoshe sisi. Unashindwa nini kuwachukulia hatua? Unabwabwaja tu! Matako Yako!
 
Hahaha πŸ˜† ni vituko CCM kwa CCM. Hakuna jipya hapo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kaka kuna mwaka uliwahi kuitwa bungeni kujieleza, spika alikuwa nani wakati ule?
 
Paskali katika ubora wako. Big up.
 
Mmbunge gani atabaki bungeni wakati hajachaguliwa na wananchi, na anajua hakuna lolote wanajadili serekali inatii, sana sana kila kinachopelekwa kinapita kama kilivyo. Na ukizingatia wananchi wamelipuuza hilo bunge, hivyo mtu anaona abaki ili iweje?
Wakati wa Hayaji JPM hakuna upuuzi kama huu ungeweza kufanyanika
 
Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…