Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

We ni wa dar,njoo huku na hiyo million yako uwaone waliokuja kuhesabiwa hiyo hela ikusaidie nauli uendee hadi kwa wambulu,zunguka Arusha nadhani utamuona ni wa kawaida sana
NB siwezi kuweka picha zao bila ridhaaa
haha, maneno matupu bila picha ni upupu tu
 
Kuna watu vichwani kumejaa tope. . [emoji35]
 

Kwa akli kama zako hizi, ndiyo utashindana na Zari? Pole idiot!
 
Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…