Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

We ni wa dar,njoo huku na hiyo million yako uwaone waliokuja kuhesabiwa hiyo hela ikusaidie nauli uendee hadi kwa wambulu,zunguka Arusha nadhani utamuona ni wa kawaida sana
NB siwezi kuweka picha zao bila ridhaaa
haha, maneno matupu bila picha ni upupu tu
 
Kuna watu vichwani kumejaa tope. . [emoji35]
 
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako mbuzi kabisa
Ulichoongea wewe kwa kuandika hapa umekiwazia kichwani au miguuni mpumbavu kabisa
Kuna Forum ya Waganda mpelekeni huku idiots!
Usitulazimshe wote tumpende huyo zari mapenzi yenu peleka huko nyambafu kabisa
Amesema ukizinguka Tanzania nzima
Angesema ukizunguka dunia nzima au East Africa
Next time don quote me
Rubbish****

Kwa akli kama zako hizi, ndiyo utashindana na Zari? Pole idiot!
 
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Wivu
 
Back
Top Bottom