Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
- Thread starter
- #41
watu wenye hela hawachekagi ovyo, nyie makapuku ndo kazi kuchekacheka kila saaMwambie acheke tumuone.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wenye hela hawachekagi ovyo, nyie makapuku ndo kazi kuchekacheka kila saaMwambie acheke tumuone.....
naweka milioni 800 itapendeza naonaMilioni haina shepu, fanya bilioni labda.
kbcHio million iko benki gani?
haha, maneno matupu bila picha ni upupu tuWe ni wa dar,njoo huku na hiyo million yako uwaone waliokuja kuhesabiwa hiyo hela ikusaidie nauli uendee hadi kwa wambulu,zunguka Arusha nadhani utamuona ni wa kawaida sana
NB siwezi kuweka picha zao bila ridhaaa
hamna kitu kule, wengi ni under 20 waleKuna ule Uzi wa mademu wakali nenda alafu uje
hahaha, sijui ni hamisa uyoMhhh hili povu ni la kiwango cha grisi wacha nichukue nipake vyuma vyangu
weka picha tumuone, maneno matupu hatutakiIv wewe unamujua kapeace au unaongea tu hapa
weka picha tumuone, hatutaki maneno matupumkewangu ni mzuri kuliko huyo[emoji127] [emoji123]
Amini hvyoweka picha yake tusibitishe
heshima niliyompa siwezi kumsambaza mtandaoni kama bidhaa nazo uza wewe amini hivyo ndio mana nika muowaweka picha tumuone, hatutaki maneno matupu
Mwanamke tabasamu.....!!! Zari kuona tabasamu Lake mpaka mnashanga leo kuna kitu gani.... Mbona akina Beyonce wanasura za furaha na tabasamu juu na pesa wanazo... Yeye kulikoniwatu wenye hela hawachekagi ovyo, nyie makapuku ndo kazi kuchekacheka kila saa
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako mbuzi kabisa
Ulichoongea wewe kwa kuandika hapa umekiwazia kichwani au miguuni mpumbavu kabisa
Kuna Forum ya Waganda mpelekeni huku idiots!
Usitulazimshe wote tumpende huyo zari mapenzi yenu peleka huko nyambafu kabisa
Amesema ukizinguka Tanzania nzima
Angesema ukizunguka dunia nzima au East Africa
Next time don quote me
Rubbish****
WivuPumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Nyie mliokosa uelewa ndiyo mtashindana nayeKwa akli kama zako hizi, ndiyo utashindana na Zari? Pole idiot!