Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Acha kuongea pumba wewe...tena jifiche watu wasiuone USO wako...mbona hata mke wangu ni mzuri zaidi yake?
 
Yaan nizunguke tanzania nzima natafuta mwanamke aliemzidi zari ili iwe nini? Basi nitakuwa nimewehuka nikapimwe akili aisee huyo wa kawaida sana tembea singida, manyara, arusha, kondoa, tanga kuna wanawake wana uzuri wa asili sio vipodozi
 
Acha kuongea pumba wewe...tena jifiche watu wasiuone USO wako...mbona hata mke wangu ni mzuri zaidi yake?
sikatai mke wako ni mzuri ila weka picha yake bas ili tuamini maneno yako, lasivyo utakua unabwatuka tu bila ushahidi
 
Unamuona tu kwenye tv ukimuona live bila make up ndio utashangaa
 
Umechanganywa na hizo make ups plus fake hairs... Ukimuona akiwa natural, hutotamani umwangalie mara mbili...
 
Wanakuja dada zetu na mapovu! ukiambiwa ana watoto 5 hutaamini naoona na ile kitu chini itakuwa imebaba
 
Wewe unamuona zari kwenye mapicha picha tu unansifia. Mtafte kile uone.
 
Tupia kapicha kake asubuhi akiamka tuthaminishe,hizo makeup mbwembwe tu!mwanamke asiyeweza hata kumlilia mama yake kwa kuhofia podari kuporomoka ana uzuri gani!so afadhali hata Nyamayao tu. Tchaaa.
 
Uzuri wa Zari ni kwa standards (vigezo) vya kizungu. Kwa vigezo vyangu vya kiafrika zari si mrembo........ hana mzigo wa maana ana shepu ya kizungu! (sorry diamond)
 
Mkuu, Jackie wa Mengi ana umri kumzidi Zari?Sidhani.
 
hahahahaha huu uzi mtamu kweli watu wamekereka sana hahaha jf raha sana
 
Waganda ukiwaambia kuhusu Zari huwa wanasema .....Zari Umkalu, ....Zari atanaamanzi......Uliza maana ya hayo maneno halafu urudi kumsifia Zari wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…