Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Tafuta picha zake za zamani..Zari mrembo sio mzuri...hana zawadi ya kudumu(WO WO WO)
 
Hahahhhhhh mara moja moja nakasirika hasa pale mtu atamdhalilisha au hatamthamini Mtanzania. Naipenda Tz yangu na watu wake.
BAK huyu kutufananisha na mtu ambaye si Mtanzania kwamba ni mzuri kuliko Watanzania ndani ya Tanzania haikubaliki. Kwani hakuna wanawake wazuri wa kitanzania wa kumzidi huyo zari
 
Utakuwa na matege ya macho wewe!
 
 
teh..teh..umetoa povu lakini umeandika vizuri
 
kama mbaya mbaya tuu, hata ukitoa povu
 
Kwa taarifa yako, hakuna mwanamke mzuri kama mama yangu, na picha yake siiweki hapa.!!
 
Hahahahahahhaa zari anawatoa watu mapoooovuuuuuuuuu hahahhahahahahah


Uzalendo my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…