Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Tafuta picha zake za zamani..Zari mrembo sio mzuri...hana zawadi ya kudumu(WO WO WO)
 
Dah! Pakawa tangu nikufahamu sijawahi kukusoma kukasirika kiasi hiki hata kule kwenye jukwaa la kuudhi.
Sasa najua kwamba Pakawa anajua kukasirika.

Kuna Dada mmoja wa kipare mie humuita huyu Halle Berry wa Kibongo lakini kamzidi uzuri Halle Berry kwa mbali sanaaaaa. Huyo dada ni mzuri jamani! Kila kitu chake kuanzia kwenye unyayo hadi utosini. Kwao wote wamezaliwa wazuri mno lakini yeye ni funga kazi. Mungu aliamua kumuumba.
Hahahhhhhh mara moja moja nakasirika hasa pale mtu atamdhalilisha au hatamthamini Mtanzania. Naipenda Tz yangu na watu wake.
BAK huyu kutufananisha na mtu ambaye si Mtanzania kwamba ni mzuri kuliko Watanzania ndani ya Tanzania haikubaliki. Kwani hakuna wanawake wazuri wa kitanzania wa kumzidi huyo zari
 
d8a4b8fcc546a1471a2c55f69a7b6ded.jpg
dad24dc5b72d2aa2b0aa8e68c4775667.jpg
Anaitwa Nani huyu mkuu?
 
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...

Utakuwa na matege ya macho wewe!
 
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
 
teh..teh..umetoa povu lakini umeandika vizuri
 
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
kama mbaya mbaya tuu, hata ukitoa povu
 
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...

Kwa taarifa yako, hakuna mwanamke mzuri kama mama yangu, na picha yake siiweki hapa.!!
 
Hahahahahahhaa zari anawatoa watu mapoooovuuuuuuuuu hahahhahahahahah

Uzalendo my foot
 
Back
Top Bottom