Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
Dada inaonekana una sura mbovu , mbona umetokwa sana povu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Nani mbaya sasa?kama mbaya mbaya tuu, hata ukitoa povu
Panda ndege uje uone ubaya wanguDada inaonekana una sura mbovu , mbona umetokwa sana povu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Weka pcha tuone kamanikweli?Hanishindi mimi huyo Zari
Tupia picha.kwa wanawake maarufu sawa, lakini wa kimya kimya mbona tuna mashangazi na mama wadogo over 40 yrs hatare tupu!
nimeshakwambia wa kimya kimya !sasa nani atupie picha ya my beautifu auntie?Tupia picha.
Mkuu kama umewahi kwenda kuzika misiba ya waislamu,chukua hili.UZURI WA JENEZA NDANI KUNA MAITI. Jeneza linapambwa na Nguo nzuri huku nje ndani kalala kiumbe ambae haongei huo ni mfano ambao umuonavyo Z wako, ajuaye siri yake ni anaemvua nguo ya kwanza kuvaliwa na ya mwisho kuvuliwa mwilini mwa mwanadamu siku zote,Huyo ndio anajua uzuri na ubovu wakeSio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,
Mtoto mashallah...
Wazuri hawajipost post mitandaoni...chema chajiuza kibaya chajitembeza...Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,
Mtoto mashallah...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] just kidding[emoji7] [emoji7]Panda ndege uje uone ubaya wangu
Duh sio kwa kupanic hiviPumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians