Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Dada inaonekana una sura mbovu , mbona umetokwa sana povu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
mkuu Traveller X wanasema uzuri upo katika macho ya anaeona. Unachokiona wewe kizuri kwa wenzanko ni cha kawaida sana. Siku zote usipendelee kulinganisha uzuri wa baina ya mtu na mtu ama kabila hili na lile. Binafsi mwaka 2015 niliwahi kukutana na dada mmoja above 40, pale Mwanza hotel na kusafiri kwangu kote sijawahi kukutana na kiumbe kama kile.
 
Atakuwa haendi chooni huyu
87296e503264dc5084f67c49ca4a470d.jpg
758a00706bcbeeb93bc8196ceba36f26.jpg
 
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...

Mkuu kama umewahi kwenda kuzika misiba ya waislamu,chukua hili.UZURI WA JENEZA NDANI KUNA MAITI. Jeneza linapambwa na Nguo nzuri huku nje ndani kalala kiumbe ambae haongei huo ni mfano ambao umuonavyo Z wako, ajuaye siri yake ni anaemvua nguo ya kwanza kuvaliwa na ya mwisho kuvuliwa mwilini mwa mwanadamu siku zote,Huyo ndio anajua uzuri na ubovu wake
 
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...

Wazuri hawajipost post mitandaoni...chema chajiuza kibaya chajitembeza...
Huyo urembo ni baraka ya pesa kununua vipodozi original sio vyetu vya mia 5 kesho vinatutoa chunusi.. awe hana pesa kabisaaaa mwezi tu halafu tuletee tena hapa...
Mi mzuriii mara elfu ya huyo[emoji108] [emoji108] ...kama hutaki kaa hapo hapo!
 
hiv kiwango chako cha elimu dalasa la ngapi maana unafikilia ujinga sana watu kama nyie wanaume ndio mashoga
 
Mboni masimba anamiaka mingapi naye kisu namkubali
b10b97aa36c7681edc4dea4815ffe330.jpg
 
Tatizo la Zari hana tak.o kabisa.. Mwanamke bila ta.ko bana hanogi tusilazimishe mambo..
 
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Duh sio kwa kupanic hivi
 
Back
Top Bottom