Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...

Tanzania ipi ilozunguka ww ?huyo zali kakulia maisha yashida hela kapata ukubwani .kuna wanawake wanamwili laini toka azaliwe hajawai kuchomwa najua .hajui kukosa hajui shida ninini .unaishi Tanzania gani ww ?? Wapo wanawake wazuri huyo zari falatu .sema hatuwezi kuweka pichazao sowauza sura .
 
Wala sishangai ni maono yako tu
 
kakuta pesa ndo maana na miaka yake hiyo 34 haja teseka,sio nyie mpaka mbahatike mwenye pesa msha kula dushelele mia na kitu wakati katoka kwa huyu kaingia mond na pesa hipo.mbona mama yake diamond sasa anaonekana mzuri tu na mtu kasimamia kucha kampa mimba

Rita Paulsen
 
Dah! Pakawa tangu nikufahamu sijawahi kukusoma kukasirika kiasi hiki hata kule kwenye jukwaa la kuudhi.
Sasa najua kwamba Pakawa anajua kukasirika.

Kuna Dada mmoja wa kipare mie humuita huyu Halle Berry wa Kibongo lakini kamzidi uzuri Halle Berry kwa mbali sanaaaaa. Huyo dada ni mzuri jamani! Kila kitu chake kuanzia kwenye unyayo hadi utosini. Kwao wote wamezaliwa wazuri mno lakini yeye ni funga kazi. Mungu aliamua kumuumba.

Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
 
Perception of beauty is subjective. Kwako wewe inawezekana akawa ni mrembo kama jini kwa wengine hafai. Kisha ushawahi kumuona make up free ?
 
Back
Top Bottom