Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema...
Nataka niwamegee siri kidogo kwa nini Diamond ataendelea kuwaburuza wasanii wenzake kwenye kuinua na kuvitoa vipaji vipya.
Nikichukulia mfano wa msanii wake Zuchu.
1. Ameakikisha Zuchu ana...
Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake.
Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka...
Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid
Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana
Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake...
Katika ukurasa wake wa ig, chawa mwandamizi na mpambe Aristote aliomba msaada Huku akiwa kafungwa pingu. Alisema anaomba msaada wa polisiTanzania kabla hajauwawa na watu waliomkamata... Je...
Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza.
Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo.
Msanii D voice...
KAMA ANGEKUWA HAI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 41. ALIZALIWA SIKU YA LEO.
Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwake. Hakuwahi kuwa na ngoma mbovu ile nipe 5 tu za moto.
Mimi hizi hapa...
Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1.
Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana...
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia juzi. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo:
Artist of the...
Habari ya kusikitisha, ni Kwamba wachezeaji wawili nchini Rwanda wamefariki Usiku wa kuamkia leo kila mmoja akiwa nyumbani kwake. Hategekimana Bonaventure aka Gangi na Mume wa zamani za Irene...
Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki.
Ameandika kuwa leo...
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee...
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa...
Na Mwandishi
Tukio la kihistoria, Jag Bains, mfanyabiashara mwenye umri wa miaka 25 na mmiliki wa kampuni ya lori kutoka Washington, ameandika jina lake katika historia ya televisheni ya ukweli...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote...
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba.
👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini.
Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je...