PAMOJA na kukataa kumwanika hadharani mpenzi wake mpya, staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa akipigwa chini na jamaa yake huyo, atatimka nchi na kwenda kuolewa...
UKWELI wa mambo juu ya msanii anayependa kulipuka pamba Hemed Suleiman Hemedi almaarufu kama PHD au Alejandro, umevuja kwani inadaiwa kuwa nguo zote anazoonekana anavaa huwa anachukua kwa...
Diamond ni celebrity wetu na ni wazi kuwa wadogo zetu wengi walioko mashuleni watakua wanamuona kama role model na watakua wanaichukulia mistari ya nyimbo zake seriously. Alipotoa nyimbo ya...
Dj Choka
Well,leo ni one of the best days ever kwa Blogger pamoja na Dj maarufu wa bongo Flava na Hip Hop ya Kitanzania, Dj Choka, ambaye mapema leo, yeye na Baby mama wake wamejaaliwa mtoto...
Muigizaji wa tasnia ya Bongo Movie John Stephan Maganga ambaye filamu yake ya mwisho inayoweza kuwakumbusha watu wengi taswira yake, kwa wale wanaotaka kumjua ni BAR AHMED iliywashirikisha...
No. 1: Hasheem Thabeet: (The Untouchable)
Fame favours the young. If you doubt that, just take a look at this man. He's only 24 years old and yet so rich.
Hasheem Manka Thabeet, kijana...
The media has been abuzz lately after the story about former Kenyan based Tanzanian songstress Ray C was released. Ray C whose drug addiction exponentially spiralled in Kenya was some months ago...
Busty ... singer wore another cleavage-enhancing outfit
INFphoto.com
She teamed the busty garment with some military style trousers and added inches to her black hair with the help of long...
Kuna ukweli gani kati ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na mwana). Pia nilikwisha wai kusikia...
haya ni maneno ndani ya wimbo mpya wa nay wa mitego,unaitwa wamenichokoza,kuna msitali anasema,NDANI YA POCHI YA MALAYA.,HAPAKOSEKANI PODA NA WANJA.kuna verse kaponda wanasiasa kwamb wanachochea...
Na Mwandishi Wetu
SIYO habari mpya kwamba ule uchumba wa kitajiri kati ya staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na mfanyabiashara ‘mjanjamjanja', Abdallah Mtoro ‘Dallas'...
Msanii wa bongo movie na bongo fleva,flora Mvungi ameibuka na kudai kuwa ana majina 10 ya wabunge ambao tayari washatembea na irene uwoya na atayaanika majina ayo wakati wowote.
amesema anajua...
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia performance ya wanamuziki wetu hasa wa Bongo flava wanapokuwa stejini, kwa ujumla inakera. Inafikia hatua mpaka unajiuliza hivi huyu ndiye mwenye wimbo ninao...
Barnaba Boy
Msanii Barnaba Elias ambaye anajulikana kwa sasa kama Baba Steve amekumbwa na maswahibu mfululizo ambayo itambidi kuwa makini la sivyo na yeye ataingia kwenye vitabu vya wasanii...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya ambaye amejikita kwenye muziki wa mduara zaidi Ally Ramadhani AT, sasa anaitwa baba, kwani mke wake ambaye alifunga naye pingu za maisha amejifungua mtoto wa...