Some times people say things that are just too scary to believe. Why would anyone link the Okoye brothers to the death of their loving mother, who died not too long ago after a brief illness...
Toka mashindano ya miss Tanzania yalipoanza ni nadra sana miss tanzania kutoka mkoani.Miss wa Tanzania wengi wanatokea Dar,kwenye wilaya ya kinondoni,temeke na ilala.Miss Tanzania akitoka mikoa...
NAAMINI WOTE TUMESIKIA KISA CHA HUYU BWANA KUDAIWA kuhusishwa na wizi wa vifaa vya magari.na naamini pia asilimia 90 ya wote waliosoma au kusikia taarifa hizo wameamini kwamba huyu jamaa ni kibaka...
Mrembo wa dunia nchini tz apatikana . Mrembo wa kitongoji cha sinza manispaa ya kinondoni ameibuka mshindi wa kwanza katika shindano la miss tanzania ambalo limefanyika usiku wa leo tarehe...
Najaribu kujiuliza hii nyimbo Mpoto anaongelea Malumbano ya kidini yaliyojitokeza hivi juzi kati, au nyie mmeelewaje wadau: Sehemu ya Mashairi ni pale anasema
"Waliopo hatuwataki, wanaotaka...
Baada ya ngoma ya Diamond kuachiwa jana muda mfupi tu baadae nyimbo hiyo imeleta utata mkubwa kutoka kwa wasanii wawili tofauti ikishutumiwa kuwa ni idea ya wimbo wa Pasha aliomshirikisha Tunda...
MSANII aliyeshika kasi baada ya picha zake zilizokuwa zinamuonesha sehemu kubwa ya mwili wake kuvunja, Rayuu amesema kuwa baada ya kufanya uchunguzi juu ya ishu hiyo amegundua kuwa mtu aliyekuwa...
Huenda ukawa unaisoma habari hii kwa mara ya kwanza. Story ni kuwa wajanja wameiiba gari ya Sumalee aina ya Land Cruiser VX katika fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam alikokuwa ameenda kula...
HUU NDO MKASA AMBAO HUSNA HATAUSAHAU MAISHANI MWAKE.........HILI NDO SIMULIZI LALE BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA.... ------------------------------------------------------------------...
nmefurahia evidence yako ya kuibiwa wimbo na idea yako
pole sana mungu atakusimamia.
nawe diamond ndio kusema umeishiwa,nakufagilia sana ila umejishusha kweli kweli
HII KAULI ALIYO ITOA MWENYEWE KUTOKANA NA TUKIO HILO
kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari...
Chris Brown (katikati) akiwa na washkaji zake
Juzi Rihanna aliandaa party ya Halloween huko West Hollywood na kukaribisha mastaa kibao akiwemo swahiba wake Chris Brown.
Chris ndiye aliyezua...
MSANII anayeshikilia nafasi ya juu kwa sasa kwenye muziki wa kizazi kipya Tanzania Nasseb Abdul Diamond, inasemekana kuwa ameamua kutoa ya moyoni juu ya Wema Sepetu katika ngoma yake mpya ya...
kwenye shindano la miss Tanzania nilimuona mwanamuziki wa nyimbo za asili Wanne star akiimba nyimbo za kundi la Makhirikhiri ,sijaelewa kwanini alifanya hivyo,na sijui kama alizingatia sheria ya...
AKATI msanii wa bongo movie Rayuu, picha zake zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili wake na tattoo kuvunja mtandaoni, ishu hiyo sasa imechukua sura mpya baada ya kudaiwa amefukuzwa kwao na sasa...
producer aliyekuwa mashuhuri katika utengenezaji wa midundo ya mziki hapo bongo al maarufu kama dunga ivi yuko wapi jamani ?
Nataka kufanya naye kazi ?
Tunamshukuru Mungu kwa kumwokoa Dotnatha. Kikubwa zaidi ni kwamba ndani ya mwezi mmoja wa wokovu wake keshatunga nyimbo tatu, na yuko mbioni kuachia album.
My Take; Wokovu ni mzuri, lakini kutoa...