The Rise And Rise Of Matata: Africa's leading model Flaviana Matata
Habari za huyu dada wengi nina uhakika wanazijua lakini kwa siku za kariburi amekuwa akipenya anga za kimataifa na binafsi...
Mama mzazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo,NASIB ABDUL aka DIAMOND PLATINUMS,jana usiku alipatwa na homa kali na kupelekwa hospitali ya MARIE STOPES..
hapa akitapika
hapa akiwa...
TAARIFA RASMI KWA UMMA:
Jana mh Amos Makala, Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo ametoa ufafanuzi na kuongea kwa kirefu redioni kuwa Ruge Mutahaba na Hamis Mwinjuma 'Mwana Fa' walitakiwa...
Fid the Don hawezi kuficha hisia zake kwa kandanda safi la Barcelona. Amejipambanua kama mshabiki asiyeyumba wa Barca. Huwa anapata support ya Salama Jabir na Mwana FA. Kila ichezapo Barca ya...
HIVI wananchi wa dar wanamkumbuka vipi kitwana kondo....kuna taarifa kuwa halmashauri ya jiji wakati wa kitwana k..walikuwa na miradi mingi chini ya DDC aambayo kama leo ingekuwepo ..jiji letu...
Hawa wadada wote wana public figure inayopendeza. Mimi naona Flaviana Matata amemzidi Jokate kwa vitu vingi. E.g. Exposure, muonekano katika jamii even pesa. Jokate amemzidi Flaviana Elimu, urembo...
Yalianza maneno,kila mtu anamrushia mwenzake,ghafla wakaanza kusukumana...watu hawajakaa sawa,milio ya risasi ikasikika.
Ilikuwa back stage kwenye tuzo maarufu za BET HIPHOP AWARDS zilizokuwa...
jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???
mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
Mtu anayejiita mchungaji hivi karibuni amemtabiria kifo rapper Ney wa Mitego kwa kudai kuwa atafariki kwa kuchomwa na kisu au kupigwa risasi.
Ney amesema mchungaji huyo alimfuata nyumbani kwake...
Rick ross wa pili kutoka kulia akiwa na kundi lake la MayBach Music Group
Rapper bilionea kutoka USA William Robert a.k.a Rick Ross anatarajia kupiga show nchini Tanzania tarehe 6 mwezi oktoba...
Kuna njia nyingi sana za mtu kuwa maarufu baadhi ni kujitangaza,lakini pia kuna njia za kupata umaarufu kwa haraka kama kufanya jambo lolote baya kiasi cha kuwashangaza wengi pia kufanya mema au...
Msanii wa filamu marehemu Steve Kanumba amerudi na filamu mpya inayoingia mtaani wiki hii,inaitwa 'Ndoa Yangu' ..ni filamu iliyotabili kifo chake na ipo chini ya usimamizi wa mama yake..get your...