Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana...
Mpaka kufikia muda huu Wenzetu Kenya wameingia Nusu fainali sisi Je?? Hatupo poppet hata 30 Bora hatupo!! Mrembo peles aliyeleta heshima hapa nchini na barani Africa ni Nancy Sumari winging kazi...
Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa...
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane...
Kwa masikitiko namuanzishia uzi huu NGULI wa hip hop TZ..anaepotea ktk game na kutuachia huzuni kubwa mashabik wake...
Amekua akitoa ngoma zisizo na maana recently ila ni jina lake tu na heshima...
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra, Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
Saturday, August 18, 2012Maalim Seif aendelea na ziara zake kuwatembelea wazee na wagonjwa
Bi Fatma bint Baraka maarufu Bi Kidude akisisitiza kwamba yeye ni mzima hasa kwa wale waliojaribu...
Koffi Olomide, ambaye ni mwanamuziki mashuhuri
barani Afrika ameshitakiwa kwa kumpiga
Mtayarishaji wake wa muziki. Mwanamuziki huyo alikamatwa na kufungiwa katika
kituo cha polisi na kufikishwa...
Inaonekana mlimbwende muigizaji anajifua kutinga Big Brother Africa na anaomba ushauri. Sijui sana vigezo wanavyotumia wapigakura BBA wakilinganisha ushiriki wa mtu na tabia yake. Mnaomjua Wema...
Huyu jamaa ki-ukweli alianza kujitanua sana katika muziki,nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama ule anaosema "ewe baba mwenye nyumba sio uwe mkaa wa moto" jamaa kuna nyimbo kibao sana ambazo...
Leo nimeingia kwenye blog ya Sinta nimekuta ameweka picha ya Ney akiwa amejisexisha maana jamaa anauza muscles na boxer. Cha kunishangaza naona maneno yaliyoisindikiza ni kumchana. Sijui...
Kuna tetesi kitaani kwamba wema sepetu kalazwa hospital.
Ikumbukwe kwamba mpenzi wake wa zamani naye anaumwa vilevile.
Kitu ambacho sijaweza amini ni kama walipotoka kigoma walienda kucheck...
Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani...
Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina...
Lile kundi la mziki wa boringo lililo jizolea umarufu mkubwa hapa bongo na nje ya nchi la mapacha watatu hatimae limesambaratika baada ya mmoja wao kujitoa.
kundi hilo lilikua linawajuhusu...