Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Daktari aeleza kilichomwua Kanumba NI BAADA YA JOPO LA MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI, BABA YAKE AZUNGUMZA, WABUNGE WAANGUA KILIO Florence Majani na Suzzy Butondo | Mwananchi...
1 Reactions
71 Replies
24K Views
MOJA KATI YA WAANZILISHI WAMTANDAO WA FACEBOOK CHRIS HUGES AOA SHOGA....... . Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mmoja wa fans wake amwambia dogo......
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ilikuwa nikipindi cha gosp cha claud pale sud brown alipomuuliza dul kuhusu kukopi bit wa mwanadada wa kijamaica
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Wema Isaac Sepetu na mama yake, Mariam Sepetu hawapo vizuri tangu yale mahojiano aliyoyafanya mzazi wake huyo runingani wiki mbili zilizopita akiwachana marafiki wa staa huyo mkubwa wa picha za...
1 Reactions
29 Replies
22K Views
leo kwenye xxl ya clouds fm msanii wa hipohop kutoka Arusha, amefunguka na kusema kwamba hiyo show ilikuwa poa sana na hakuna vurugu zilizotokea.. Amesema kama wapo waliorusha mawe basi...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Ulimbukeni wa watangazaji Mpaka Kero....... Dancers hawana ubunifu wowote zaidi ya kuiga style za nje. IT'S BORING
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Mama yake Wema Sepetu, Bi Mariam Sepetu afunguka kwa ghadhabu akiwatakia wale wote ambao wamekuwa wakifuatilia maisha ya mwanae hasa waandishi wa habari za Udaku waache mara moja vinginevyo...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Madaktari wakiwa wameshika mikono huku waiimba nyimbo za kuashiria umoja katika mgomo wao unaoendelea jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix Geofrey Nyang’oro SAKATA la madaktari...
0 Reactions
140 Replies
14K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda utumbuizaji wa wasanii wetu stejini hasa wa bongo fleva na kwaya.kwa kweli wanaboa sana na kutia kinyaa _kinachofanyika ni ***** mtupu 1.wengi hawawezi kuimba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Jana wakati naangalia ufunguzi wa BBA 5 All Stars washiriki waliulizwa siri zao na bila hiyana Mwisho akatoa yake kuwa aliwahi kuwaDATE wasanii wa kike wawili kwa mpigo hapo ndio kumbukumbu zangu...
0 Reactions
27 Replies
15K Views
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Kumbe wengi wenu mmekimbilia mliko kutokana na kukosa malezi ya Baba na Mama........... nimewasoma na ukweli ndio huo! hamna maadili kwa hiyo hamuwezi kuwa vioo kwa jamii kwani wengi wenu mmejilea...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa wamanga wa Offside Trick wanapenda kweli kukashifu madada wa kimatumbi kwenye video za laana. Sasa basi waanze kutuwekea dada zao wa kimanga tuone viuno vyao. Tumechoka na viuno vya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tumuombee apate nafuu http://www.nydailynews.com/new-york/50-cent-hospitalized-car-accident-york-long-island-expressway-article-1.1102437
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima yenu wanaJF Naomba kufahamu kuhusu huyu gwiji wa utunzi. Alizaliwa wapi na CV yake kwa ujumla wake. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nasikia huyu boss wa Tip top connection ni mchawi balaa.... huwa anatembea na kibegi chake hivi hakiachi hata awe anaenda wapi.. Jaribu kuchunguza hata wewe.. msanii yeyote atakayeingia tiptop...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
dogo janja atua jijini dar, ajiunga mtanashati entertainment: ......... Hivi hawa watu wanapata wapi huu muda? Yaani unafunga safari all the way kuja kumpokea mtu mmoja, tena muda wa kazi? Bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hao watu wamefariki, safari yao ya duniani imeisha mengine anayajua Mungu huko mbele ya safari. Lakini huku bado tuna vimbelembele mara maaskofu mara wachungaji wanaotaka kutudanganya kuwa hawa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama itabainika lulu yuko under 18 baaasi! Baada ya kufuatilia masuala ya sheria ya haki za mtoto na wajibu wa wazazi nimeebaini kwamba wazazi wa lulu watakuwa na shitaka la kujibu...mimi kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…