Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina...
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!
Aliponza tulisema anacopy nyimbo, ingawa hata hivyo aliziimba vizuri.
Kwa huu wimbo mpya wa Samson na Delila dogo kaimba fresh, hata kama itatikea ameucopy.
Sali ni je bado dogo hatujamkubali?
BADO taifa linaombeleza kifo cha msanii nyota wa filamu za Bongo, Steven Charles Kanumba kilichotokea Aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake, Sinza, Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinamhusisha...
ilikua kwenye TUZO ZA MUZIKI ZA KILI 2011/2012
Wakati OMMY DIMPOZ anaenda kupokea TUZO yake ya pili alisindikizwa na DIAMOND(hawa ni marafiki wakubwaa) ndipo DIAMOND akatoa maneno haya:-
'kuna...
Huyu ni aliyewahi kuwa golikipa wa vilabu maarufu, Peter Manyika.
Juzi nilikia Singo yake, dah! maisha ni kujaribu kila fani, jamaa anaimba muziki wa kizazi kipya. Mashairi machache...
Msanii x-member wa kundi la Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali.
Msanii huyo...
Shaq earns education doctorate
Updated: May 5, 2012, 11:05 PM ET
Associated Press
Recommend1K
Tweet92
Comments279
Email
Print
MIAMI -- Former NBA star Shaquille O'Neal is a doctor now...
Leo kwenye kipindi cha the comedy kwa kweli masanja amenifurahisha kwa kuwataja wabunge wote na mawaziri waliohudhuria msiba wa kanumba kumchangia sajuki akatibiwe kama walivyochanga kwenye msiba...
Mwanamuziki Diamond anayevuma kwa sasa hapa nchini kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake kwenye ukumbi wa Dar Live, onyesho hilo lililofanyika jana siku ya...
Sina uhakika kama hii post ilishawekwa, ila sijawaelewa hawa Star Times kuendelea kuonyesha picha za marehemu kanumba katika mabango yao wanamaanisha nini?
Wanajamii naomebeni mnieleweshe kama...
Jamani Edil Ganzel nimemkumbuka huyu Gwiji wa tamthilia. Nimekumbuka moja ya tamthilia zake: Kama simu ya Kifo, Kijasho chembamba na nyingine......
Jamaa alikuwa mzuri sana enzi hizo tukiwa bado...
NAPATA SHIDA KUUKUBALI UMAARUFU WA KANUMBA
Napata shida moyoni kumkubali Kanumba kama mtu muungwana na aliye stahili heshima aliyo pewa ya kuzikwa namaelfu ya watu na tena viongozi wetu wa...
Kuna hiki kipindi knaitwa skonga knarushwa kila cku ya ijumaa kuanzia saa 1 jion hadi saa 2 ucku ktk television ya EATV, hvi huwa kinafundsha nin,maana me hata huwa ckielewi.
Mani zimepita siku kadhaa sasa huyu mwanadada maarufu kwa kufanya interviews na wasanii haonekani luningani..Je ameacha kazi? yuko likizo au imekuwaje? si vibaya tukajua alipo kwani ni maarufu kwa...