Waungwana na wakubwa zangu kwa heshima kubwa ninaomba nimrudishe huyu Mana kwenye majadiliano yetu ya kila siku, pengine wengi mmesikia mambo yake, wengine mmetetea tusimnyoshee mtumishi wa Mungu...
Mnamkumbuka huyu dada she came into limelight na hiyo bendi kipindi flani na mi binafsi nlikua namhsudu sana.
Sasa alidisappear kimya kimya na ghafla na hadi leo najiuliza bila majibu alienda...
Hivi huyu bidada miziki yake huwa inapigwa bongo?
Kwa habari zaidi kuhusu miziki yake na bio gonga chini...
ReverbNation
My take: huyu dada ni mwanamziki ambaye maybe hajapata producer ama...
Wadau, mi nina story ya movie ambayo ni unique na ni ya ukweli kinoma.
Naona mtu anayeweza kuitendea haki katika scripting ni Yakuti tu na actor anayeweza ni Kanumba.
So naomba mtu anayeweza...
Alisema hana upinzani kwenye Filamu kwani nafasi yake iko kubwa, kwa kuonyesha uwezo wake kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kuisuka albamu ya muziki wake na nyimbo mbili zipo tayari na zinasikika...
Siku hizi bana......sijui sheria ya umiliki wa silaha unasemaje?
mtangazaji wa clouds fm anodi kayanda...ubabe ubabe tu.....
risasi tayari tayari.....na mie naweka gurneti langu....
msanii wa bongofleva Qchief a.k.a 'Asali' amekuwa akienda kupiga show nyingi sana uko Mombasa na mara zote amekuwa akiongozana na promota wake Pedeshee Chief Kiumbe...kwa wadau waliowai kufika...
Akichezesha taya na mwananchi wa kawaida(castro dickson) wa claus tv,oten aliweka wazi biashara inayomuweka mjini kwa sasa tofauti na muziki.
Nawasilisha.
Nipo naangalia program yao kupitia TBC,yaonekana wamechoka.Hata kipindi cha leo,just imagin mambo ya jairo na igunga ya mwezi wa kumi mwaka jana.IVI KWA NINI WALIMTUKANA MAMBA HALI HAWAJAVUKA...
Katika siku za karibuni katika tasnia ya muziki wa bongo zimeibuka bifu nyingi hasa kwa wasanii wa HIP HOP TANZANIA
mfano:
Roma/izo B
chid beenz/Afande sele
soggy/afande sele
kikosi cha...
Aliyewahi kuwa Mrs. Majani, malkia wa Bongo Records na sasa Bongo Movie actress Kajala Masanja, mapema leo amechukuliwa na kufungwa Segerea kufuatia mashitaka ya ufujaji wa pesa za umma...
Yaonekana mwanadafada Wema siku hizi baada ya kuachana na almasi a.k.a diamond amekuwa wa kujiachia na kufanya matanuz amabyo duuuuhhhhhhh!!!!!! amekuwa mtu wa shoppings hapa home, na sasa yuko...
A Death by Skin Cancer? The Bob Marley Story
Dr Cleland Gooding MD., F.A.A.D., a physician with a specialty in Skin Diseases employed by the Bahamas Government, has...
The Kenyan government has been urged to implement the laws on sex tourism. Truth, Justice and Reconciliation Commission acting chair Tecla Namachanja said lax laws are to blame for sexual...
Kwa wale wenye wajukuu kama Baba_Enock na walikuwa wapenzi wa Mpira wa Kikapu nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana Rodman aka "BadBoy"...
Inasemekana hali yake ya kifedha si njema sana...
WaKATI NCHI IKO Kwenye janga kubwa la afya kuwahi kutokea, na wengi wakitaharuki baada ya kusoma matokeo ya kidato cha nne...huko kwenye burudani yanayojiri ni haya...