Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu...
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
Sikatai kila mtu ana haki ya kuamua kitu lakini nimekuwa nikijiuliza kaka yetu sunzu ataacha lini kujichubua na hili linamfanya hata alipoumia kwa kweli upande wa kushoto ukiangalia namkumbuka...
huyu padri alikua ni mwalimu wangu pale Visiga enzi izo.....hongera padri kwa katoto! h
Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mburahati lililopo wilayani Kinondoni jijini...
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
Omotola and husand celebrate 16 years of marriage
The star actress wed her pilot husband Mathew Ekeinde exactly today (March 23 1996) 16 years ago at the Ikeja registry. Their white wedding held...
Leo katika kipindi cha SUPER MIX EAST AFRICA RADIO,alikuwepo seleman msindi AFANDE SELE amezungumza mambo mengi tena kwa uchungu kwa mfano amesema kuwa harakati za kupinga virus wa huu mziki...
Mkali wa bongo movie ambaye pia ni muimbaji wa bongo flava Hemedy Suleiman PHD leo usiku kuanzia mishale ya saa 4 na nusu usiku atakuwa katika kipindi cha weekend chat show ndani ya clouds...
FAMILIA ya hayati Whitney Houston imemwomba mwanamuziki, Ray J, asitoe mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha na Whitney baada ya habari za kutaka kutolewa mkanda huo kuzagaa...
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja...
BAADA ya kufanya vizuri kwenye muziki, festledi wa lebo ya Young Money, Nick Minaj sasa ameanza kupanua wigo wa kibiashara baada ya kulamba dili ya kutangaza kinywaji cha Pepsi.
Inasemekana dili...
Jamani wacha niseme wana kwa hili kwani huyu jaammaaa ni bonge l amtangazaji hata salama jabir akirudi pale pb hamuwezi na angepewa na hnl tuachane na yle tozi anashobokea wasichana na hata swaga...
Habari wadau,
Nimehakikishiwa na m1 wa mafundi wa riz1 aliyejenga pale darlive,kwamba ni ya kwake kabisa na pili ashanunua kile kiwanja cha pembeni cha CRDB na wanajenga parking,CRDB...
Tajiri na bilionea wa kwanza duniani Carlos Slim Helu wa Mexico
Anamiliki utajiri wa:$74 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Telecom
Umri: 71
Uraia: Mexico
Tajiri na...
Lets talk about NAPE NNAUYE as a celebrity in politics industry,is he just a famous person due to his position and responsibilities or he is a potential polititian deserving more tha what he...
Sameera Reddy The Hot And Sensational South Actress Sameera Reddy Spicy Hot Stills. Check Out Her Spicy Picture Gallery In HD Quality. She Has Worked In Bollywood Movies Too.
Kwa nini wasanii wengi wa Tz wanapenda kuimba nyimbo za kulalamika?
Malalamiko mengi ni kuachwa au kukataliwa kisa pesa...kilio kimekuwa ni pesa pesa..umasikini......ebu tujikumbushe hawa...