Jana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa mke wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema...
Tumeona the way harmo,rayvanny,zuchu mbosso wakipewa support na attention wanayoitaka. Wamepewa interviews za kutosha.wameandaa ma ep na kutoa album kadhaa huko wakifanya collabo na wasanii...
Ni kweli kwamba huwa kuna mameneja wanazingua lakini pia tusisahau kuna wasanii nao huwa wanazungua
Lazima tuelewa vizuri mazingira ya wasanii, management na soko kwa jumla.
Wasanii wengi...
Wakuu kwema?
Ebhana leo nimeona niongelee hii issue, Kuna Kundi jipya limezinduliwa siku za hivi karibuni (TNC)
TNC inaundwa na member wa tatu kutoka TMK wanaume family ambayo baadaye ilikuja...
wasanii wenye Hali nzuri nje ya Sanaa ta mziki, Kwa Sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu, ni wastaafu
Si jambo la kuficha kwamba ni wasanii wachache huwa wana hali nzuri za...
Habari Wanajf,
Kwakweli nilitegemea wonders kutoka kwa Alikiba kwenye show hii ya Ufunguzi wa Michuano ya African Super League, labda anaweza akaja tofauti kutokana na ukubwa wa event yenyewe...
Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango...
Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017.
Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa...
Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall .
Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya...
Nimepata shauku ya kutaka kumjua huyu jamaa.
Mbali na uigizaji ,uchekeshaji na kufanya challenges za nyimbo mbali mbali huyu jamaa ana jishughulisha na nini?
Maana hana jina kubwa kiasi hicho...
Mpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu...
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa...
Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi.
Katika...
Eran alikuwa aki serve kama bodyguard wa Swift katika tour yake ya kimuziki iitwayo Eras.
Viva Israel, Viva nchi ya ahadi.
=============
Taylor Swift‘s security guard who protected her during...
Kachukia kitendo cha whozu kuishi kwa wema ,wanaishi tu hawafungi ndoa
ila mama wema nae anapenda kumsema mwanae mbele za watu lazima achomoe betri,anamuambia ukweli ila anapenda drama na...
Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekuwa akitoa mfululizo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi...
Hello Wakuu
Leo Rapper Eminem amefikisha Miaka 51 ya kuzaliwa
Ili kusherekea sikukuu sio vibaya tukashare mstari katika wimbo wake unaokukonga roho hadi kesho
Mimi naanza na hii kutoka 'Not...
Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho...
Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran.
Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran...