Ahuofe 🇬🇭 Aliyejipatia Umaarufu Mitandaoni (Tiktok & IG) Kama Tupac Wa Ghana Amefariki Dunia Jana Jumatano Machi 29, 2023 Huko Kumasi Nchini Ghana. Taarifa Za Kifo Chake Zimethibitisha Na Rapa...
Can't Be With You Tonight
You Caught My Eye
That Night We Met
Dreaming of a Little Island
Turn Back the Time
Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄...
Maisha yana badilika yani leo Burna Boy ndio kumzidi kete show Davido.
Picha ya kwanza video ya davido iliyotoka Uingereza Burna Boy akiwa kama msindikizaji
Hii sio kawaida, angekuwa ni Mtanzania basi Kama kawaida zigo angebebeshwa Diamond Kama walivyofanya Harmonize, Dimpoz na Alikiba.
Hapa mwamba anaenda kanisani.
Tokea lini rapper akavaa...
"One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame".
Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26...
So pathetic. Everything in Life is temporary. The famous successful singer Celine Dion can no longer walk nor lift any part of her body.she never wished for this at 55 but that's what fate...
Za sahizi wakuu,
Leo, hebu tuongee juu ya safari isiyo ya kawaida ya shujaa wa ndondi Mike Tyson na uamuzi wake wa kukaa bila kujihusisha kimapenzi kwa miaka tano ya kushangaza. 🥊
-Mike Tyson...
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao
Toka majuzi...
Kundi hilo la Watoto 6 wenye miaka 6 hadi 13 limepata upinzani mkali kutoka kwa Mshindi wa kwanza #ViggoVenn kutoka #Norway akifuatiwa na #LillianaClifton pamoja na mshindi wa 3 mwanamazingaombwe...
Wasalaam!
Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!
Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB...
Moja kwa moja kwenye mada.
5. Matonya
Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake...
Ili msanii uwe superstar kuna vitu vitatu vya muhimu kuwa navyo.
1. Kipaji
2. Nyota
3. Connection
Ukikosa vyote basi walau uwe na viwili kati ya hivyo na kitu Nyota usikikose.
Msanii mpya...
Ndugu zangu poleni na majukumu,Poleni na Msiba wa Taifa hili.
Naomba niwapeleke kwenye burudani kidogo hasa mziki wa Hip-Hop.
Kuna jamaa aliimba nyimbo flani ambazo nikizisikiliza najisemea...
Ndugu zangu na members wote wa JF habari za muda huu. Poleni na mihangaiko na harakati za kujitafutia walau mkono uende kinywani. Bila kupoteza wakati twende kwenye mada husika kama title ya...
Lil durk ameripotiwa kumliapa j cole kiasi cha USD 978k, kwa Tanzania sawa Na shilling, 2,316, 882, 000 baada ya kumshirikisha kwenye ngoma yake ya "All my life".
J cole katika wimbo huo verse...
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8...
Ahlan wa Sahlan
Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala.
Kwa...