Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

SKENDO CHAFU YAMTAFUNA HAKIKA RUBEN, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMTAKA AREJEE KWA MUNGU. Mitandao ya kijamii imeibuka kwa kasi nchini Tanzania na imechukua sura mpya kwa watu tofauti ambapo wapo...
20 Reactions
346 Replies
33K Views
Habari. Leo nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu Dada kiukweli nimevutiwa nazo na nimezipenda Sana . Nani mwenye ufahamu wa maisha yake nje na muziki.
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Henry Alfred Kissinger (alizaliwa kama Heinz Alfred Wolfgang Kissinger tarehe 27 Mei 1923) ni mtaalamu wa elimu ya siasa aliyeendelea kuwa mshauri wa marais wa Marekani na hatimaye waziri wa...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
6 Reactions
80 Replies
7K Views
Wametengeneza movies ambayo inahusu mtu aliyebakiza dakika 90 kufa na movie imetoka 2014 na mwandishi wa movie na muigizaji Robin Williams wote wamekufa mwaka huo huo 2014 Je, walijua au bahati mbaya
1 Reactions
17 Replies
2K Views
At their peak Chid Benz na Solo Thanga. Nani hatari zaidi kwenye HIP HOP???
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba! Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor. Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni...
18 Reactions
113 Replies
11K Views
Picha: Celine Dion Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii mistari imenifanya nimkumbuke sana Langa ...... ...... Sio swala la uoga,Kuogopa ukunguru Ila bora Kulogwa kuliko kukosa uhuru Wapi sheikh Mponda,wapi jenerali Komba? Sera Kali serikali cheza...
41 Reactions
85 Replies
15K Views
Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au Real Jongwe...
35 Reactions
162 Replies
13K Views
Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vingi viliandika hivo Hata humu JF pia walituleteaga hui uogo Aisee mtuombe radhi nahreal sio mtoto wa mkono na ndo maana sasa yupo busy na yake hana time na msiba
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau wa bongo fleva, Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya mvua kusababisha utelezi uliotuletea maumivu makali hapo Chang'ombe kwa mzee wa Lupaso, ghafla nimemkumbuka sana shemeji yenu Mariah Carey. Tangu mechi iishe nimejifungia huku uwanja wa...
2 Reactions
10 Replies
907 Views
Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza...
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya...
15 Reactions
68 Replies
8K Views
Marijani Rajabu Umahiri mkubwa wa kupiga ala tofauti tofauti za Muziki kutoka kwa magwiji wa muziki Africa kipindi hicho kama; Sory Kandia Koutare toka huko guinea na Tabu Ley Rochereau (Tabu...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Hawa ni wasanii ambao wametoa ngoma kali na kuweza kuhit ukanda wa ziwa wote. Ni wasanii ambao wanajaza sana kwenye show zao. 1. Malingita 2. Bhudagala mwanamalonja 3. Bahati wa bugalama 5...
17 Reactions
96 Replies
17K Views
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia. Oscar Oscar ameondoka EFM...
13 Reactions
247 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…