Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

"Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya kulevya," amesema Tale. "We get more money from music, sio kwenye madawa ya kulevya...
0 Reactions
96 Replies
22K Views
Kumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao...
3 Reactions
211 Replies
34K Views
Makala ya Raia Mwema lina habari ya kufikirisha kidogo: Mwandishi anauliza " Diamond ana fedha, lakini anauza nini?" Hata mimi nimejikuta nikiuliza swali hili mara nyingi tu bila majibu. Wengine...
4 Reactions
119 Replies
20K Views
Wote ni mapastor lkn nani anakukosha Zaidi?
4 Reactions
78 Replies
2K Views
Huo ndo ukweli wakuu au mnasemaje? Ukiondoa mambo ya itikadi ya vyama huyu mwanamume alikuwa anaimba aisee acha kabisa. Skiza kitu hiki hapa Sasa kumekucha 👇👇...
2 Reactions
15 Replies
507 Views
Katika mahojiano yake ya kwanza aliyofanya kupitia Gozbet Ministries ameeleza sababu ya kuchoma gari lake moto. Soma, Pia: Mtume kanisani kwa GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mfanyabiashara maarufu wa magari nchini, Ndugu Dotto Magari anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia na kufafanua masuala ya kitaifa na Kimataifa. Wote mnakaribishwa.
7 Reactions
80 Replies
3K Views
Siku za hivi karibuni nimeona wasanii wa kidunia wakijitokeza kwa manabii sio kwamba wanaokoka na kumrudia Mungu hapana tumeona shughuli zimeendelea kama kawaida kufanya anasa Diamond na clear...
0 Reactions
6 Replies
430 Views
Ugonile.. Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye...
18 Reactions
100 Replies
3K Views
Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real...
32 Reactions
82 Replies
8K Views
Walikuwaga power couple bongo movie enzi hizo. Nakumbuka mamaa alivyokuwaga anapambana kumtibu mumeo sajuki kwa muda mrefu haki kifo chake. Wastara pia alipataga ajali ambayo ilipelekea yeye...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Komando kipensi alikiwasha sana akiwa kwenye ubora wake pale Clouds Bad luck ni kama kila kitu kimegeuka kwa sasa
9 Reactions
75 Replies
4K Views
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro. Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo. Kwangu mimi...
16 Reactions
163 Replies
8K Views
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika haaaaaaaaaaapa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu. Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya...
5 Reactions
110 Replies
14K Views
Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona...
19 Reactions
75 Replies
15K Views
Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu. Hayo...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
5 Reactions
18 Replies
888 Views
Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35. Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa...
64 Reactions
134 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…