Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande...
Leo nimecheka sana, hii ni Press Conference yake ya pili naiangalia anazungumzia Katiba Mpya na kumjibu Lema mambo ya Bodaboda naona kama ni Comedian.
Hapo nyuma niliangalia nyingine akitoa...
Wakuu kwema? Darasa na Stamina at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, ni nani mkali zaidi linapokuja suala la Hip Hop?
Stamina Vs Darasa.
#Forgive Me.
Balozi wa Njaa tokea Tanzania.
Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah
kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa...
uongo dhambi kachoka kiakili.
SEMA UMEUPIGA MWINGI...
sisalimii leo
Huyu kijana anajulika sana mwazo watu hawakuwa wanamuelewa sasa baada ya kumaliza chuo pale UDSM ndipo akapata mpenyo wa kujulikana mwazoni watu walikuwa hawamuelewei kabisa...
Moja kwa Moja..
Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia...
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na...
May you be gifted with life’s biggest joys and never-ending bliss. After all, you yourself are a gift to earth, so you deserve the best. Happy birthday Meeyah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,
Leo ni kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha mtangazaji huyu mwanamke wa RTD baadaye TBC, Halima Mchuka, aliyefariki siku kama ya leo, miaka 10 iliyopita.
Huyu ndiye Mtangazaji mwanamke...
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina...
Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki"...
Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450.
Adidas inatarajiwa...
Makosa ya kimatibabu yaligharimu uhai wake
Mwaka 2005 Stella Obasanjo mke obasanjo (aliyekuwa rais wa nigeria) akiwa anakaribia kusherekea birthday yake ya kutimiza miaka 60.. aliamua kusafiri...
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba BSS.
Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki...
Wayne Rooney’s son Kai says he sees himself playing in the Premier League in 10 years time - and that his biggest inspiration is his dad.
The 13-year-old is currently in Man United’s academy...
Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule...