Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki...
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako...
Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali...
Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake...
Wanajamvi,
Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina...
Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa.
Mapema wiki hii, mwanamuziki...
Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao.
Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani.
Huku...
Wakuu salaam,
Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo...
Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter...
Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa...
Samahanini wana jamvi
Siku ya valentine day Masanja mkandamizaji alikua akihojiwa kwenye kipindi cha leo tena..
Nilimsikia akisema inawezekana Yy ndo alikua chanzo cha matatzo ya mke wake na...
Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza...
Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo...