Kama mnakumbuka gwiji mkubwa wa sanaa bwana Charles Magari na sauti yake nzito ya mkaruzo wa chini.
Kipindi cha bongo movie ulitamba sana ila Kanumba kufariki tu sijawai kukusikia tena ila...
Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU...
Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina. Ila kiukweli sema ndio wakati wa uzuri kulikuwa hakuna mazuri mda ule. Ilikuwaje mwisho wa siku kuwa na kichaa fulani.
Gwiji wa reggae duniani hayati Robert Nesta Marley (Bob) ni moja kati ya wasanii mashuhuri duniani waliopata kuwa na watoto wengi waliowazaa na wanawake tofauti-tofauti.
Katika maisha yake Bob...
Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.
Ni chereko na vifijo.
Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka...
Dar salala....
Shwetwan lajuuun... yaani hii story kama ni ya kweli basi Mkewe atakua kaupiga mwingi sana!
Nasemaje, mwisho wa ubaya huwa ni aibu, na mwanzo wa wivu huwa ni chuki bob, au nyie...
Drake anaweza kuwa anafikiria mpango wa kuondoka kwenye game. Rapa huyo anaonekana kuongelea kustaafu kwake wakati wa mahojiano na "rafiki yake mkubwa" Lil Yachty kupitia mazungumzo ya tangazo la...
Msanii wa muziki Tanzania ndugu Hamorapa amefanikiwa kumaliza masomo yake shahada ya 3 ya elimu ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe.
Msikilize hapa chini.
Eric R. Holder, Jr. amekutwa na hatia ya kufanya mauaji ya mwanamuziki ambaye jina lake halisi ni Ermias Asghedom tukio lililotokea Mwaka 2019, Los Angeles.
Hussle alikuwa baba wa watoto wawili...
Mchekeshaji huyo maarufu alikamatwa Februari 21, 2023 nje ya maeneo ya Bunge akiwa na kundi la waandamanaji waliokuwa na mabango yenye jumbe za kuionesha Serikali kuwa Wananchi wana hali ngumu ya...
Wasaalam wakuu
Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu
Mwaka uliopita kulizuka habari juu
Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye...
Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo.
1. Maria Salome -Saida Karoli.
2...
Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena.
Rihanna...
Timothy Weah, huyu ni raia wa marekani ila kwa kuzaliwa ,ila baba ake ni raia wa Liberia, Huyu Timothy ni mtoto wa rais wa Liberia ila leo mtoto wake aliitetea Marekani katika kombe la Dunia2022...
Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016.
Mara baada ya hukumu...
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani
Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24...
Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking
---
Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka...