Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

KWENYE safari yake ya kwenda mapumziko nchini Kenya mwaka 2001, rubani wa ndege yake binafsi alizimia wakiwa angani na hapo akalazimika kuongoza ndege hiyo kwa dakika kadhaa kabla ya rubani huyo...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna siku nilimuona Dotnata, amekuwa mtu mzima. Kweli maisha ya mwanadamu ni kama maua.
4 Reactions
79 Replies
12K Views
Leo nikiwaa home madogo wanaangalia Television nikapitisha macho. Nikakutana na wanahabari wa Kipindi cha Chumba cha Umbea (ICU) kinachorushwa na Channel ya Magic Bongo QWISA, JUMA LEKOLE NA...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm. 📌Habari kamili. Na Hemedyjrjunior. 👇 Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023. Umuzi huo umetokana na kifungo...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwaka 2017, akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu namna anavyoutumia mtandao huo, Selena alinukuliwa akisema “Huwa nafuta App ya mtandao huu walau mara moja kila wiki sababu Watu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Lisaa limoja baada ya Klabu ya Manchester United ya Uingereza kutangaza kuvunja mkataba na CR7, mwanasoka huyu amekuwa maarufu maradufu. Hivi Sasa amefikisha wafuasi million 501 katika ukurasa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Matatizo na Kero ya Muungano wetu........ BONGO YETU.......
0 Reactions
0 Replies
288 Views
12.2.2023 apple music wadhamini wapya wa NFL super bowl half time show, walituletea bonge moja la perfomance, kutoka kwa Rihanna Licha ya ukimya kwenye music na kubase sana kwenye biashara ya...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Salaam, We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. Watu kama kina bishanga bashaija, Cathy...
9 Reactions
77 Replies
19K Views
PICHA: Watangazaji Brighton Mwemba maarufu Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu Babalevo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo February 02,2023 kujionea shughuli mbalimbali za Bunge...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna...
1 Reactions
7 Replies
906 Views
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni...
19 Reactions
48 Replies
4K Views
Najua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop. Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi...
6 Reactions
173 Replies
22K Views
Jamaa Ngoma yake anayotaka kutoa ameiweka kwenye awaiting mda Sana na imepata view laki moja , nahs akija kutoa Ngoma ataunganisha na Hz views ionekane Ngoma imetambaa Kwa mda mfupi na kupiga...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Form 6 degree Hadi masters ukasema hauhitaji kazi.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law School of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Joslin akiwa anauza chips. Joslin alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na...
37 Reactions
107 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…