Taifa lenye watu 60m msanii akatoa albam akauza hata kwa alfu 3 kwa 1% ya watu wote nchini ambao ni kama watu 2m anaweza kupata kitu kama bilion 6,kiasi ambacho sidhani kama kuna msanii anamiliki...
Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta.
Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma...
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa...
Harmonize mwanamuziki mwenye uwezo na bidii. Sina uhakika kama anajielewa au hata ana meneja mzuri. Au huenda anayo menejimenti nzuri ila ye ni kichwa ngumu!
Nimeshangaa kuwa anataka kutoa album...
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto...
Daima dumu huwa naamini maisha ya sanaa ya muziki hayana tofauti na kukidunda kitenesi kwenye sakafu automatically kitaenda juu na kisha kugonga ceiling board na kurudi chini huku kikipungua kasi...
Wasalaam wanajamvi.......
Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki...
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo)
Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani...
P Funk Majani Ni Bulldozer.
Amechonga Barabara kubwa katika Sanaa ya mziki ambayo Hadi Kufika leo Hapa Inatakiwa Tumpe Maua Yake.
Kitendo Cha Sallam Kumjibu vibaya ni Kumkosea heshima...
Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent.
Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent.
Amezaliwa 6/7/1975...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Brazil, mwili wa Pele utaanza kuagwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Vila Belmiro wa Santos, baada ya shughuli za Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais wa 39...
Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan...
NILIDHANI walioziacha fikra za Mwalimu ni viongozi wa CCM peke yao, kwa hakika nilikuwa nimekosea sana. Jumamosi iliyopita wakati Watanzania wengine walikuwa wanafurahia ushindi wa Taifa Stars...
Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado...
Huyu bwana huwezi ni ngumu kuangalia video zaidi ya 10 kwenye Tiktok bila kukutana na video zake, wengine wanamuona kama mtu shujaa na msema ukweli na wengine wanamuona kama mtu katili kwa...
Mchezaji wa Ufaransa na PSG, Kylian Mbappé hajawahi kuweka wazi mahusiano yake lakini anaripotiwa kutoka na mwanamitindo aliyebadili jinsia Ines Rau.
Mbappé na Ines Rau wameonekana mara kadhaa na...