Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mr right ni show inaonyeshwa startimes na wasichana wanachaguliwa na wanaume single ili waolewe. Ila baada ya yote Kuna huyu mmaza alikuwa huko majuzi hapa anahojiwa anadai yupo single na majuzi...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wadau wa JF, Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Tukiwa tumetoka kusherehekea kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo wa Nazareti, Tunasherehekea mwanzo wa Safari ya ukombozi wetu. Yesu ametufunza upendo na heshima kwa viongozi wetu, Kiimani mimi...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Huyu jamaa licha ya watu kusema ana gundu ila mimi naona sio gundu tu, ni kwamba menejimenti yake pia haimpush vile inavyopaswa. Nimeshuhudia mara nyingi Mbosso/Zuchu na boss mwenyewe wakiandaliwa...
19 Reactions
51 Replies
5K Views
Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni. Ni nani huyo mtu tishio kwa...
9 Reactions
78 Replies
10K Views
Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza. Mkuu...
16 Reactions
272 Replies
26K Views
Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae. Amewaandikia barua watumishi wake wote...
10 Reactions
33 Replies
6K Views
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote...
15 Reactions
334 Replies
24K Views
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata...
9 Reactions
74 Replies
11K Views
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala... Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa...
13 Reactions
149 Replies
21K Views
Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM. Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu...
10 Reactions
327 Replies
24K Views
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini. Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla...
14 Reactions
102 Replies
7K Views
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani. Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia. Kipindi cha...
26 Reactions
85 Replies
6K Views
Kwangu mimi MFALME - Q chief Nikilala naota - jide Namtafuta aseme Kama unataka demu - Solo thang kazi ipo - wanaume Sintobadilika - Mie tee Malkia - Ray C Uko wapi Soge sogea Na wewe Milele...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Huyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza: 1. Twenzetu - Chegge 2. Salome- Dully sykes 3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi 4. Barua -...
10 Reactions
156 Replies
40K Views
Chanzo kikuu kilichomuanoda Mendez Salam SK wcb ni hiki shuka na mimi Mendez kama meneja alimshauri boss wake Diamond kwenye relationship status hawez kuwa na Zuchu Maana hana mvuto kibiashara...
14 Reactions
47 Replies
8K Views
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa...
22 Reactions
75 Replies
6K Views
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…