Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Unjani sabuwona Wakuu leo jumapili yangu imeenda poa sana mamilioni yanaendelea kutililika tu sijui nyie majobless wenzangu kikao cha harusi yangu kinaenda vizuri sana muda si mrefu...
4 Reactions
4 Replies
732 Views
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana. ~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba ~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi ~ Banza Stone ~ Mwinjuma Muumini...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna kijana mmoja aitwae Baraka, alitrend sana na kuvuta hisia za watu wengi kipindi kile cha awamu ya tano kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza sauti ya Rais Magufuli. Alijizolea umaarufu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
“The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi kuna mwenye profile ya huyu mke wa waziri mkuu?
3 Reactions
120 Replies
32K Views
Iwe ni wewe ama director, mtu anaigizia kama Rubani halafu anavaa kofia ya Polisi?
9 Reactions
22 Replies
2K Views
RECHO TEMU AINGIA PABAYA Jamani yaani tumbo la Uzazi hadi linanikata kwa kweli. Mwanadada mwenye makeke yake, Mdogo wa mwana diplomasia na Balozi wa Nchi yetu huko ughaibuni atamuua dada yake...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Wakuu kwema, Habari za asubuhi? Njooni kidogo tuzungumze. Hivi ipi tofauti ya MC na Rapper kwenye Hip Hop? Nini kinawatofautisha? Nitajieni Ma-Rapper na Ma-MC. #forgive me
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Patcho Mwamba, jamaa alipata aleji ya kuvimba mwili baada ya kunywa bia fulani jina kapuni, na baada ya kuanza kuwashwa sana alipiga picha na kuweka kwenye ukurasa wake wa instagram. Baadae kuna...
0 Reactions
44 Replies
20K Views
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia. Jamaa katoa...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za week end wadau! Katika tafakuri zangu kuhusu Sanaa yetu ya bongo, nimeona niandike Uzi mfupi kuhusu artists hasa wale wenye vichwa viwili( mabeberu wenzangu). Mwenyezi Mungu ametujalia...
0 Reactions
2 Replies
488 Views
December 08,2022. Mchezaji kikapu raia wa Marekani Brittney Griner aliyekuwa ameshikiliwa nchini Russia tangu mwanzoni mwa mwaka huu ameachiliwa huru Leo. Mchezaji huyo alihukumiwa kifungo cha...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious...
10 Reactions
59 Replies
7K Views
Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari Miaka mingi imepita I think less...
22 Reactions
333 Replies
88K Views
Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN. Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Naingia moja kwa moja. Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo. Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…